Ujenzi wa Uwanja wa Tottenham Hotspur

Utaitwaje huo uwanja

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
unajengwa dodoma, ko epl now tutaishuhudia live toka dom..... kane, dembele, dele ally ndani ya dodoma

now wanatumia uwanja wa taifa (wembley) kama uwanja wa nyumbani
 
Utaitwaje huo uwanja

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone

Huo uwanja unaitwa "White Hart Lane" labda ubadilishwe baada ya ujenzi mpya yaani kuongezwa idadi ya viti na jukwaa jingine.
 
wanaujenga kwa standard za olimpiki au kwa timu tu??

Kama sponsor akiingia kingi watu wanachukua pesa
 
Standard yao, Standard ya Olympic ni London Stadium ambao WestHam wanatumia.
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106] mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
wanaujenga kwa standard za olimpiki au kwa timu tu??

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone

Ni uwanja mkubwa unaweza kulingana na wa Arsenal wa Emirates.

Hiyo ni jinsi unvyoonekana kwa ndani hadi sasa, ujenzi waendelea.
 
waukweli mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…