M Mwana kondoo 2025 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2025 Posts 495 Reaction score 580 Jun 14, 2025 #1 Bado kuna shida ya kasi ya ukarabati wa Uwanja Ndege Mwanza. Utekelezaji wa muundo mbinu huu hauendani na kasi aliyoiagiza Rais. Tatizo ni nini huu uwanja?
Bado kuna shida ya kasi ya ukarabati wa Uwanja Ndege Mwanza. Utekelezaji wa muundo mbinu huu hauendani na kasi aliyoiagiza Rais. Tatizo ni nini huu uwanja?
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 14,381 Reaction score 19,080 Jun 14, 2025 #2 Ndege zenyewe bado zipo?
Ubaya Ubwela JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 2,711 Reaction score 6,474 Jun 14, 2025 #3 Pesa hakuna wakandarasi hawalipwi kwa wakati