Ujenzi wa Reli ya kati Umeanza?

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,373
6,084
Wadau ningependa kujua ujenzi wa standard gauge reli ya kati umeanza?
Nakumbuka Waziri wa Ujenzi Mhe. Makame Mbarawa alisema ujenzi huo ungeanza December 2016.
 
... Hivi kuna mpango wa kuifufua na reli ya Dar - Moshi - Arusha kweli? Majuzi wakati naenda Moshi nimesikitika sana kuona reli hii imekufa kabisa...
 
Back
Top Bottom