Tuombe mods ahamishe huu uzi kwenye matangazo ya biashara ili usipotee haraka. Nitakutafuta mkuu, sema kwa sasa kuna mambo nataka kamilisha kwanza ila in 6 months nitakua tayari kuanza project yangu. Hivyo naomba uni PM tu contact zenu ili mda ukifika nikianza ku survey options niweze kupia kwenu pia. Asante.