Natafuta Marine board kwa ajili ya ujenzi wa Slab maeneo ya Wazo Hill. Kama kuna mtu anauza used Marine board au kukodisha kwa bei nafuu naomba anitaarifu.
Nenda Tegeta kibaoni wanauza used marine boards. Nakushauri ununue mpya kwani bei hazipishani sana. Jaribu Mbuyeku, wako Tangi Bovu...bei zao sio mbaya sana