U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 4,252 Reaction score 9,311 Dec 3, 2020 #1 Pongezi Serikali Ya awamu ya tano chini ya Rais Magufuli Kwa Kutoa Tsh Bilioni 9 kugharamia Ujenzi huo
Pongezi Serikali Ya awamu ya tano chini ya Rais Magufuli Kwa Kutoa Tsh Bilioni 9 kugharamia Ujenzi huo
Mr Dudumizi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2020 Posts 7,971 Reaction score 14,538 Dec 3, 2020 #2 Kuna watu wanaomba tetemeko la ardhi lipite na nyumba zote zibomoke, eneo liwe tambalale. Ili warudie au waendelee na ile hoja yao kwamba serikali hii haijafanya chochote.
Kuna watu wanaomba tetemeko la ardhi lipite na nyumba zote zibomoke, eneo liwe tambalale. Ili warudie au waendelee na ile hoja yao kwamba serikali hii haijafanya chochote.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,538 Reaction score 76,474 Dec 3, 2020 #3 Atawale Milele
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,708 Reaction score 35,716 Dec 3, 2020 #4 So what?
Ettore Bugatti JF-Expert Member Joined Aug 28, 2017 Posts 4,123 Reaction score 8,253 Dec 3, 2020 #5 Serikali inawajibika. Ila wasitumie nguvu nyingi kuwakamua mapesa wananchi wake ili tu hayo majengo yakamilike.
Serikali inawajibika. Ila wasitumie nguvu nyingi kuwakamua mapesa wananchi wake ili tu hayo majengo yakamilike.
park don JF-Expert Member Joined Dec 2, 2017 Posts 4,952 Reaction score 7,095 Dec 3, 2020 #6 Scrap value
Nrangoo JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 3,423 Reaction score 5,488 Dec 3, 2020 #7 Serikali tiyari imeanza kupokea maombi kwa wanaohitaji kupangisha ama kununua
fogoh2 JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 6,029 Reaction score 6,376 Dec 3, 2020 #8 Nrangoo said: Serikali tiyari imeanza kupokea maombi kwa wanaohitaji kupangisha ama kununua Click to expand... Wanarudi walewale waliotolewa hapo familia 644 watakaabure miaka mitano
Nrangoo said: Serikali tiyari imeanza kupokea maombi kwa wanaohitaji kupangisha ama kununua Click to expand... Wanarudi walewale waliotolewa hapo familia 644 watakaabure miaka mitano
Nrangoo JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 3,423 Reaction score 5,488 Dec 3, 2020 #9 fogoh2 said: wanarudi walewale waliotolewa hapo familia 644 watakaabure miaka mitano Click to expand... Hamna cha bure ile ni biashara mkuu. serikali imeweka pesa zake pale inatakiwa irudi[emoji3]
fogoh2 said: wanarudi walewale waliotolewa hapo familia 644 watakaabure miaka mitano Click to expand... Hamna cha bure ile ni biashara mkuu. serikali imeweka pesa zake pale inatakiwa irudi[emoji3]
fogoh2 JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 6,029 Reaction score 6,376 Dec 3, 2020 #10 Nrangoo said: Hamna cha bure ile ni biashara mkuu. serikali imeweka pesa zake pale inatakiwa irudi[emoji3] Click to expand... baada ya miaka mitano wataanza kulipa kodi
Nrangoo said: Hamna cha bure ile ni biashara mkuu. serikali imeweka pesa zake pale inatakiwa irudi[emoji3] Click to expand... baada ya miaka mitano wataanza kulipa kodi
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,663 Reaction score 167,575 Dec 3, 2020 #11 Ok, mtauza au mtawapa wale jamaa wa awali?
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,409 Reaction score 40,089 Mar 21, 2021 #12 Pazuri. Wanyonge mjiandae kisaikolojia