Are you serious au umeamka vidole vikiwa vinawasha mkuu?
Nkajua unakuja na full data hapa kua foundation depth must be a certain mita, foundation width na concrete grade flani itumike, utuelekeze pia katika udongo flani fanyeni hivi..
Au hapo ulikua unazungumzia ukuta wa Ukawa???
huu nu uhalisia wa ulichotaka kuandika au kuna kitu nyuma tunatakiwa kujifunza kwa kupitia mfano huu ili kuwa na UKUTA imara?Habari wana jamvi. Leo nimeona niwashirikishe jinsi yakujenga ukuta ulio imara ili kuepuka hasara zitokanazo na kuboka kwa ukuts itakayopelekea kupoteza pesa zetu.
Kwanza kabla ya kujenga ukuta wowote lazima uhakikishe una plan za ujenzi na uweze kufanya uchunguzi wa ujenzi na gharama zake
Pili hakikisha unachimba msingi mrefu ili kuimarisha ukuta wako
Tatu andaa nondo zakutosha na cement pia itahitajika katika kuimarisha ukuta wako.
Matofali ni kitu cha msingi sana katika kujenga ukuta imara pia yasisahaulike katika kujenga ukuta.
Sidhani kama fundi ameshachimba msingi na ameweza kuweka foundation imara itashindikana kendelea kujenga ukuta kwa fundi ajaye maana mafundi wanaweza kubadilika ila plan ya ujenzi inaweza kuwa ileile. Hakikisha kuna cement yakutosha narudia tena nondo na maji ni muhimu sana..
Wangeongeza muda wa kufungua baa uwe saa tatu usiku......!!!!Habari wana jamvi. Leo nimeona niwashirikishe jinsi yakujenga ukuta ulio imara ili kuepuka hasara zitokanazo na kuboka kwa ukuts itakayopelekea kupoteza pesa zetu.