Ujasusi wa CHADEMA ni utapeli?

kudukua mawasiliano ya mtu ili kumuokoa mtu ni halali kisheria.....usiwe muongo mkuu.
 
Kweli mkuu kinachosumbua hapa ni hii sheria nadhani ililetwa kwa minajiri ya haya mambo, si kana kwambwa wadukuzi hawapo, wadukuzi kwa hivi sasa wameongezeka maradufu tatzo faini na kifungo cha kufanya udukuzi maana mamlaka hiyo wamepewa tcra pekee
Chadema iliwahi kumlipia faini ya milioni 7 Kijana aliyemtukana Rais.
 
Chief, muda umebadlka na system imebadlka, nahc watu wale waliokuwa wakiwategemea kwa hzo taarfa za ki intelijensia maybe hawapo tena kweny system so inakua vgumu kuzpata kwa urahc kama mwanzo kutokana na adminstration kubadlka lakn naunga mkono 'ideology' yako kwa maana ya kwamba hatua za haraka zlizochukuliwa wakat wa lwakatare na jinc walivyotulia katika hl la saanane mpaka wapigiwe kelele kdogo lakn pia kuna mtu ameniulza swal, kwamba.. mara ya mwsho ben alikua akfanya harakat on behalf ya chama au zlikua ni za kwake bnafsi?, maana yy anaamn hzo ndo zmepelea kupotea kwake ghafla manake hata huko nyuma alkua akfanya harakat lakn hakuwah kupotea......me nmekosa jbu, labda mnisaidie wenzang..kutokan na swal lake hlo na mm nkapata la kwang, kwahyo inawezekana chadema wanakua slow katka hli because ben was workn as a 'lone wolf' at the time of his disapearance? lakn ubongo wang ukatafakar tena na tafakar hyo ipo hv 'kama mm ni mwajir na mfanyakaz wang cjamuona wala kufanya nae mawacliano japo kwa cku mbil, je co jukum na wajbu wang kumtafuta angalu hata kuulza kama yu mzma au ana tatzo lolte lilomfanya actokee kazn? au wenzetu hawafuatilian kazn?..may be..ni mawazo, fikra na maoni bnafsi tu.
 
Japokuwa si mwana CDM ila naomba nitoe mambo machache km,
Mosi
Najua tiss walipata wakati mgumu sana kwa kutafuta MTU, watu wanao vujisha siri zao has a kwa Dr.slaa maana mambo mengi yalimfikia yeye hata kabla hajawa katibu was chama,akiwa mbunge tu ,
Hivyo wale wasiri was Dr.slaa hawakuwa salama na najua mlisikia baadhi yao kukutwa kwenye visima vya maji baada ya kupotea,
Pili
Usalama wa taifa upo makini sana,wakijua kuna mahali siri zao zinaweza vuja lazima wadhibiti na hilo ndilo limefanyika,kwani source za info kwa CDM aimedhibiwa,ikiwa pamoja na makampuni ya simu ,
Tatu
Sote tunajua Dr.slaa alivyo kigeuka chama chake na aliko Leo ni ngumu sana wale informa wake ,wapo hai ila wata pass wapi,?
Tano
Chadema nao wanajua what happened na hawezi pigana vita kwa mbinu zile zile zilizoshindwa japo zilisaidia wao kwa wakati ule pia zimemfanya upande wa pili ajizatiti,
So njia mbadala ndio hiyo ya kuomba hao hao wahusika wasaidie
 
Mbona wakati Mwalimu Kaijage (RIP) anaumwa mlimtelekeza wakati mnajua fika tatizo lake ni ugonjwa wa Ini mkaishia kudanganya kuwa mtampeleka Ujerumani kutibiwa arudi Kigoma mara moja!!!

Matatizo ya upande wa wenzenu mko wepesi sana kukosoa wakati kwenu kunaelekea shimoni. Nyie ACT ni janga la kidunia
 
Chadema ni matapeli wa kisiasa wanaoumbuliwa na awamu hii ya Magufuli.

Nilishawahi kuwasihi wamuombe radhi Na kumuangukia Dr Slaa
Hakuna tapeli kwa kisiasa Africa mashariki Kama chama kile kikongwe chenye rangi ya kijani
 
Hakuna tapeli kwa kisiasa Africa mashariki Kama chama kile kikongwe chenye rangi ya kijani
Naamini kuelekea wilaya unayoishi kuna lami tofauti na miaka 50 iliyopita.

Naamini pia wilayani kwenu kuna umeme wa kuchaji simu yako tofauti na miaka 50 iliyopita.
 
Unatafuta Kiki CHADEMA.

Vipi ACT yetu hahusiki na kupotea kwa Ben? Maana ni watoto wapenzi wa CCM mnaotumika kama chambio lao.
 
Naamini kuelekea wilaya unayoishi kuna lami tofauti na miaka 50 iliyopita.

Naamini pia wilayani kwenu kuna umeme wa kuchaji simu yako tofauti na miaka 50 iliyopita.
Bahati mbaya hujui ninakotokea pamoja na wilaya yetu kuzalisha zao la biashara Tanzania kwa miaka mia na zaidi lakini bado chama chako hakijatufanyia chochote Mpaka Leo hii.
Hutanishawishi katika hilo.
 
IMANI YANGU IMESHUKA TANGU WALIPOMSIMAMISHA LOWASA KUWA MGOMBEA URAIS.

MI SIO MFUATA UPEPO SIWEZI KUWAELEWA MPAKA WAJE WASEME KWAMBA WALICHOKUWA WANAKIIMBA NA MPAKA KUKIWEKA KTK TOVUTI YA CHAMA NI UONGO.

NA KAMA WATAKIRI NI UONGO SITOKUWA NA SABABU YA KUWAAMINI KTK MENGINE.

NDOMANA SIAMINI YOTE HAYO WANAYOYAITA TAARIFA ZA INTEREJENSIA SABABU HATA TAARIFA ZA UFISADI WA LOWASA WALIKUWA WANAZISAMBAZA KWA NJIA HIYOHIYO
 
Waziri wa polisi samahani sana tunamtaka Ben akiwa hai. ..Plziii bring him back...Twagala Ben wafe Mwigulu...Dash chei cue Ben ratika...[HASHTAG]#Twenda[/HASHTAG] Ben
 
Jamaa unachosha sana dah unaandika thesis au makala ?

[HASHTAG]#BringbackBenAlive[/HASHTAG]
 
Slaa alikuwa na network kubwa na watu wa UWT
 
Chadema ni matapeli wa kisiasa wanaoumbuliwa na awamu hii ya Magufuli.

Nilishawahi kuwasihi wamuombe radhi Na kumuangukia Dr Slaa
mie hapa ndio huwa siwaelewi ccm kwanni mpinzani akihama au kukwaruzana na wapinzani wenzie mnamuona shujaa?? slaa alipokuwepo chadema post zako ziko humu hukuwahi kumsifia na ulimuita babu mara cjui padri mzinifu lakini siku ameacha ukatibu mkuu ukaanza msifia sana eti mpinzani wa kweli na nuru ya upinzani. mlifanya ivo pia kwa mh hamad rashid na zitto kabwe na bila kujua mmefanya hata wanaosupport upinzani nchi kuwaacha kuwaunga mkono maana hizi sifa za zenu za kinafki zinafanya waonekani kweli wanatumika na ccm ingawa labda walitofautiana tu kimawazo na viongozi wenzao wa chama.
so acheni unafki ccm wa kusifia wapinzani baada ya kukwaruzana inakera sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…