Lazima uwe na chombo kinchodetect Wi-Fi. Kama, laptop, tablets au simu.
Pili lazima kuwepo na Wi-Fi, ambayo siyo secured... ya public au kama ni secured lazima upate SSSID yake.
Baada ya hapo, una-unaconnect, na kuanza kula mtandao.
Njia nyingine, kama una simu ambayo inaweza kudetect wi-fi, na una USB stick yenye sim card, basi connect hiyo stick kwenye laptop au tablet, weka simu on ..... kula wi-fi.