Ujanja na utapeli wa tigo

Ujanja na utapeli wa tigo

Born Star

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2011
Posts
365
Reaction score
257
Wana jamiiforums kuna jambo la muhimu kwa watumiaji wa mtandao wa tigo nataka kushare nanyi
ukipigiwa simu na huduma kwa wateja wa tigo kuhusu huduma yoyote na wakakwambia bonyeza kitufe chochote kupata huduma hii usikate simu maana ukikata unakuwa umeshabonyeza kitufe kwa hiyo wanakuunga kwenye huduma hiyo

huo ndio ujanja na utapeli wao ni bora wangekuwa wanasema bonyeza moja kuungwa kwenye huduma hii lakini kusema bonyeza kitufe chochote wanakuwa wamekutega hata ukikata simu unakuwa umeshabonyeza kitufe

usikate simu mpaka wao wakate wenyewe
 
n kweli kbsa mimi juz imenitokea, aisee niliwasumbua mpk kuja kunitoa kweny huduma yao walijuta
 
Wana jamiiforums kuna jambo la muhimu kwa watumiaji wa mtandao wa tigo nataka kushare nanyi
ukipigiwa simu na huduma kwa wateja wa tigo kuhusu huduma yoyote na wakakwambia bonyeza kitufe chochote kupata huduma hii usikate simu maana ukikata unakuwa umeshabonyeza kitufe kwa hiyo wanakuunga kwenye huduma hiyo

huo ndio ujanja na utapeli wao ni bora wangekuwa wanasema bonyeza moja kuungwa kwenye huduma hii lakini kusema bonyeza kitufe chochote wanakuwa wamekutega hata ukikata simu unakuwa umeshabonyeza kitufe

usikate simu mpaka wao wakate wenyewe

vigezo na masharti kuzingatiwa, pia mnapenda mtelezo sana ndio maana hata matapeli wakikupigia wakikwambia umeshinda bonus unafocus huko, umeshinda bonus kwa kazi gani uliofanya..?
 
Hawa tigo wanazingua sana. Hata ukijiunga Bando bila kuwasha data Ukiangalia Salio la MB Unakuta hamna. Kuna siku nikaenda ofisini kwao kuwaeleza na nikajiunga MB hapo hapo ofisini kwao bila kuwasha data ili waone na wakashuhudia na kukosa maelezo
 
nilikua na mpango wa ku renew line yangu niliyoivunja mwaka juzi, ila nimegairi kamo bado ni wa janja janja
 
bado huwezi kuacha buku kwenye line yao ukaikuta imetimia
kweli ..Jamaa wezi Hawa..mimi wakinikeraga huwa na kwenda kwenye page zao ...na wawapaka mpaka wanattua kero niliyonayo "" sitakagi ujinga ""
 
Back
Top Bottom