A amepro Member Joined Oct 25, 2024 Posts 17 Reaction score 23 Jun 30, 2025 #1 Hello wana JF,, Je ushawai sikia watu wakisema "Ujana ni maji ya moto"? Huu uzi ni kwaajili ya kutoa mawazo yako juu na mada husika, je wewe unaelewa vipi katika ilo! Je ujana huo kuwa wa moto unaleta mitazamo chanya au hasi katika jamii inauokuzunguka? See you at the top; karibuni wataalamu.😙🙃
Hello wana JF,, Je ushawai sikia watu wakisema "Ujana ni maji ya moto"? Huu uzi ni kwaajili ya kutoa mawazo yako juu na mada husika, je wewe unaelewa vipi katika ilo! Je ujana huo kuwa wa moto unaleta mitazamo chanya au hasi katika jamii inauokuzunguka? See you at the top; karibuni wataalamu.😙🙃
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 14,232 Reaction score 32,053 Jun 30, 2025 #2 Ngumu sana kufika 40s bila grid taifa
X Xi Jinping JF-Expert Member Joined Jun 14, 2023 Posts 9,416 Reaction score 28,178 Jun 30, 2025 #3 Maji hata yakiwa ya moto lazima yapoe na huwa haichukui muda mrefu Ndivyo na kipindi cha ujana ni kifupi sana usipokitumia vizuri utajutia mbeleni Na wakati huohuo maji ya moto yanaunguza, hivyo ukiutumia vibaya ujana utaumia
Maji hata yakiwa ya moto lazima yapoe na huwa haichukui muda mrefu Ndivyo na kipindi cha ujana ni kifupi sana usipokitumia vizuri utajutia mbeleni Na wakati huohuo maji ya moto yanaunguza, hivyo ukiutumia vibaya ujana utaumia
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,953 Reaction score 56,082 Jun 30, 2025 #4 Tufanye yote tusisahau kutenda mema
The Worst JF-Expert Member Joined Sep 12, 2021 Posts 8,365 Reaction score 27,351 Jun 30, 2025 #5 Ujana kwangu ulikuwa wa baridi barafu maana wakati wenzangu rika langu wanachemka na ujana wao mimi ndiyo kwanza nilikuwa nakumbushwa majukumu na Bi Mkubwa. Mungu aendelee kumuweka amenisaidia vingi sana kwenye wenge la ujana.
Ujana kwangu ulikuwa wa baridi barafu maana wakati wenzangu rika langu wanachemka na ujana wao mimi ndiyo kwanza nilikuwa nakumbushwa majukumu na Bi Mkubwa. Mungu aendelee kumuweka amenisaidia vingi sana kwenye wenge la ujana.
Muimba SINGELI JF-Expert Member Joined Dec 25, 2024 Posts 4,211 Reaction score 10,860 Jun 30, 2025 #6 Uelewa wangu kwa ufupi juu ya hii kauli.
Nomadiq JF-Expert Member Joined Jan 5, 2025 Posts 8,548 Reaction score 22,828 Jun 30, 2025 #7 UJANA UTAKUWA MAJI YA MOTO pale utakapokuwa mhusika kwenye hii nyimbo: "Ninaaoo ninaoo"
Kazakh destroyer JF-Expert Member Joined Nov 16, 2017 Posts 4,090 Reaction score 8,457 Jun 30, 2025 #8 Shadow7 said: Tufanye yote tusisahau kutenda mema Click to expand... Umesema vyema sana mkuu.
R Risen man JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 20,001 Reaction score 54,078 Jun 30, 2025 #9 Chezea ujana kesho uje kusumbua mawakala
proton pump JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 7,571 Reaction score 11,757 Jun 30, 2025 #10 Xi Jinping said: Maji hata yakiwa ya moto lazima yapoe na huwa haichukui muda mrefu Ndivyo na kipindi cha ujana ni kifupi sana usipokitumia vizuri utajutia mbeleni Na wakati huohuo maji ya moto yanaunguza, hivyo ukiutumia vibaya ujana utaumia Click to expand... Aise unawaza mbele. Ila hawawezi kuelewa
Xi Jinping said: Maji hata yakiwa ya moto lazima yapoe na huwa haichukui muda mrefu Ndivyo na kipindi cha ujana ni kifupi sana usipokitumia vizuri utajutia mbeleni Na wakati huohuo maji ya moto yanaunguza, hivyo ukiutumia vibaya ujana utaumia Click to expand... Aise unawaza mbele. Ila hawawezi kuelewa