uINTERVIEW SUBA AGROVET

Prince Hope

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
2,155
441
Habarini za majukumu. Nimeitwa kwenye interview as Sales representative. Najipanga kuhusu possible questions. Salary expected ni moja kati ya maswali.

Wadau, naomba mwenye ufahamu kuhusu starting scale kwa freshers katika position niliyoitaja hapo juu, anijulishe hata (hata kuni PM). Natanguliza shukrani.
 
Hao jamaa ni waasia(wahindi) wanajihusisha na mambo ya mbegu na mbolea, mishahara sina hakika nao sana, wako arusha maeneo ya viwandani kule kama sijakosea. Hongera mdau... Ni heri ndege mmoja uliyenaye tayari mkononi, kuliko ndege 1000 waliopo porini. Kila lakheri, be confident that day mkuu
 
Asante mkuu, sikuwa nafahamu hata asili ya wamiliki wa hii kampuni. Napata picha fulani kuhusiana na salary kama nitakumbana na hilo swali.
 
Mkuu hawa jamaa ni kampuni ya wabongo jamaa wa Musoma mkuu wangu ww ukienda pale mishahara ni kama mia mpaka mia saba kijana ila ujue pale MD ni mama,Baba na Watoto.inadeal na Mbolea,madawa ya mifugo pamoja na Mbegu ipo opposite na Blue rock arusha near Golden rose mkuu ila haina isue sana nenda ni Biashara za Kibongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom