masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,867
- 15,063
Tufukue la MwembeChai?Hapa tz wanafukua makaburi madogo tu.
Hata wewe kada...Tufukue la MwembeChai?
Fukua muislam uchwara wewe kafir gaid weweTufukue la MwembeChai?
Sumaye mnaye huko...msije kusema chama kinaonewa.Fukua muislam uchwara wewe kafir gaid wewe
Tunachojifunza ninile kitu inaitwa perseverence ya justice system.View attachment 531984
Uzembe wa Polisi uliofanywa miaka 28 iliyopita, na uliosababisha vifo vya wapenzi 96 wa mpira, leo umeamuliwa wahusika kushitakiwa.
Na kigogo wa Polisi Chief Superintendet David Duckenfield(mstaafu) na wengine watano wanashitakiwa kwa kuua bila kukusudia (manslaughter).
MY TAKE
Makaburi yamefukuliwa hata huko majuu ili haki itendeke.