UINGEREZA: Mahakama yaamuru Bunge kuhusishwa kuamua kama Serikali inaweza kuanza mchakato kujitoa EU

Queen V

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
775
1,332
Mahakama yaamuru Bunge kuhusishwa kuamua kama Serikali inaweza kuanza mchakato wa kujitoa katika Umoja wa Ulaya(EU).

Uamuzi huu unamaanisha kuwa Waziri Mkuu, Theresa May hawezi kuanza mazungumzo na Umoja wa Ulaya hadi Bunge litoe ruhusa. Hili linategemewa kufanyika kabla ya deadline ambayo ni tarehe 31 Machi.

Tazama mjadala wa habari hii ukisomwa kwenye JamiiLeo

========

Parliament must vote on whether the government can start the Brexit process, the Supreme Court has ruled.

The judgement means Theresa May cannot begin talks with the EU until MPs and peers give their backing - although this is expected to happen in time for the government's 31 March deadline.

But the court ruled the Scottish Parliament and Welsh and Northern Ireland assemblies did not need a say.

Brexit Secretary David Davis will make a statement to MPs at 12:30 GMT.

What the case was about?

During the Supreme Court hearing, campaigners argued that denying the UK Parliament a vote was undemocratic.

But the government said it already had the powers to trigger Article 50 of the Lisbon Treaty - getting talks under way - without the need for consulting MPs and peers. It wants to do this by the end of March.

Reading out the judgement, Supreme Court President Lord Neuberger said: "By a majority of eight to three, the Supreme Court today rules that the government cannot trigger Article 50 without an act of Parliament authorising it to do so."

The court also rejected arguments that the Scottish Parliament, Welsh Assembly and Northern Ireland Assembly should get to vote on Article 50 before it is triggered.

Lord Neuberger said: "Relations with the EU are a matter for the UK government."
Government: This will not delay Brexit

Outside the court, Attorney General Jeremy Wright said the government was "disappointed" but would "comply" and do "all that is necessary" to implement the court's judgement.

A Downing Street spokesman said: "The British people voted to leave the EU, and the government will deliver on their verdict - triggering Article 50, as planned, by the end of March. Today's ruling does nothing to change that."


Source: BBC
 
Waingereza waheshimu Uamuzi wa Kidemokrasia Kama wanavyoshauri Nchi zingine kuheshimu
 


Wanatafuta pa kutokea kulipa bunge maamuzi ya kuridhia wakati hili ni swala la bipartisan na msimamo wa wengi ni kubaki huko ni sawa na kupeleka kesi ya ngedere kwa nyani; chances ni kwamba watazuia mpaka PM apeleke plan yake ya kujitoa kwanza yenye maelezo ya kina jinsi gani hakuna athari.
 
Watajijua wenyewe.
Hivi kumbe kuna mihimili mingine inaweza kuiamrisha mihimili mimgine kuitendaji hata huko majuu?
 
Back
Top Bottom