Uimara wa uongozi wa Mangungu

Uimara wa uongozi wa Mangungu

ANT DRUGS

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
5,221
Reaction score
6,450
Wakuu kama mnavyojua kiongozi Bora lazima awe na msimamo usiotetereka hasa taasisi yake inapopitia changamoto yeyote.

Mangungu toka Mwaka 2023 amekuwa akisakamwa kila Kona na wanasimba wakinishinikiza ajiuzuru lakini Baba wa watu amekuwa imara kuhakikisha anatimiza ndoto yake ya kuifikisha Simba Nchi ya ahadi.

Mangungu kazungukwa na watu wengi wenye roho mbaya wanaotamani afeli Kwa kila kitu lakini Baba wa watu anapambana nao na hapigi makelele akipitia magumu.

Hakika huyu Baba amejitolea kuiletea maendeleo Simba Sc.

Hakika ukitazama uongozi wake huna budi kusema Mangungu kanywa maji ya bendera ya Simba Sc.Waasisi wa neno Kindakindaki walitazama uongozi wa huyu Baba na hatimae wakaja na hilo neno.

Wanasimba tuitunze hii tunu tukiipoteza tutalia na kusaga meno.

SIMBA NGUVU MOJA.
 
Hahaha! kweli kabisa hii ni tunu inayofaa kutunzwa.
 
Kuna muda huwa namuoneaga huruma sana mzee wa watu, vijana wanampa stress sana.
Vijana hawasomi katiba yao kuna cheo kinaitwa mkurugenzi wa wanachama hakina muhudumu moja ya kazi yake ni kuwatetea wanachama kwasasa wanachama wanajitetea kwa kurusha jiwe gizani, (kwakukushinda nyuma ya mikamera)

Hitimisho Simba SC inahitaji kamati tendaji bodi iundwe baada ya kuboresha muundo wa ubiya, (after the transformations)
 
Bahati mbaya wanasimba hatujajua Adui yetu ni Nani.Siku tukimjua tutamlinda Mangungu Kwa wivu mkubwa
 
Back
Top Bottom