KHALFANI 86
Member
- May 16, 2020
- 14
- 24
Kwenye kulinda makaburi ya familia chache za wanaccm kipo makini sana Ila kwenye ile Vita tuliyotangaziwa mwaka 1961 ya kupambana na umasikini,ujinga na maradhi.Hiki ndio chama cha hovyo duniani,Ni chama pekee kilichoinyima nchi Bora kabisa duniani siasa Safi na viongozi bora matokeo yake nchi hii imekuwa ikigomea nafasi ya mwisho kwenye umasikini kwenye rank za duniaCCM NI MAKINI HAIJAWAI TOKEA
Wakati unawaza kuisoma CCM kwenye vyombo kama msemo wako unatakiwa utafakari kuna chama gani chenye dira ya kweli ambacho kipo tayari kuwa mrithi wa CCM?Uimara wa Ccm unakua unaimarika zaidi kutonana na Vyombo vya usalama kuikingia kifua, yaani kutumia nguvu sana, bila ya vyombo vya usalama Ccm ingekua tunaisoma kwenye vitabu kama history
Niruhusu nitoe mtazamo wangu kwa moyo mweupe. Naamini kuwa CCM ya leo haiko imara sana kulinganisha na chaguzi za nyuma. Ingawa ni rahisi sana kuona kuwa CCM imewekeza kwa wananchi, lakini ukweli ni kuwa uwekezaji mkubwa umefanywa kwenye vyombo vya dola.Kwa haraka haraka ukiangalia vyama vya upinzani vinakwama wapi utawaangushia lawa viongozi wa vyama vyao ,hii sio sahihi kabisa udhaifu unaoendelea kupatikana kwenye vyama hivyo unatokana na wanachama wenyewe wa vyama husika. Leo hii unawaza kuhusu kutokea chama kingine kikubwa cha upinzani ambacho kitadhihirika uchaguzi mkuu wa 2020 ambacho kitakigaragaza chama kikuu cha upinzani kilichopo sasa ambacho ni CHADEMA ,Na wengi wanajua huu ndio muda wa kudondoka kwa CHADEMA alafu hao hao walioiunga mkono CHADEMA ndio hao hao watakiunga mkono hicho chama ambacho sintokitaja leo ila kwa wakati Mwingine. Anguko hilo ndio Uimara wa CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM), kawaida ya wanachama wa CCM huwa wako makini na mambo yao kuliko wanachama wa vyama vingine vya upinzani hii ndio siri ya UIMARA wa CCM. mfano muda huu wanachama wa vyama vya upinzani wote kwa ujumla wako macho kwenye mambo yanayoendelea CCM kuliko vile wanaangalia chama chao alafu baadae wanaanza kulaumiana Mwenyekiti wa milele akishafanya teuzi zake kuweka watu anaopanga wawepo kwenye nafasi anazoamua yeye. Hapo ndipo CCM inazidi kuimarika kutokana na udhaifu unaovikumba vyama vya upinzani katika kukikimbiza chama hiki tawala chama pendwa na chama kikubwa namba moja Africa na cha pili Duniani.
Utakuta wewe ni kijana mdogo tu huna hata miaka 30 lakini unashabikia ccm iliyokuwepo tangu mwaka 1954, chama chenye mrengo wa kizee na kilichofanya Tz kuwa nchi maskini kwa miaka karibu 60 sasa. Ndio maana tunashangaa kwanini hatuendelei wakati hatubadilishi chama tangu 1961!Kwa haraka haraka ukiangalia vyama vya upinzani vinakwama wapi utawaangushia lawa viongozi wa vyama vyao ,hii sio sahihi kabisa udhaifu unaoendelea kupatikana kwenye vyama hivyo unatokana na wanachama wenyewe wa vyama husika.
Leo hii unawaza kuhusu kutokea chama kingine kikubwa cha upinzani ambacho kitadhihirika uchaguzi mkuu wa 2020 ambacho kitakigaragaza chama kikuu cha upinzani kilichopo sasa ambacho ni CHADEMA ,Na wengi wanajua huu ndio muda wa kudondoka kwa CHADEMA alafu hao hao walioiunga mkono CHADEMA ndio hao hao watakiunga mkono hicho chama ambacho sintokitaja leo ila kwa wakati Mwingine. Anguko hilo ndio Uimara wa CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM), kawaida ya wanachama wa CCM huwa wako makini na mambo yao kuliko wanachama wa vyama vingine vya upinzani hii ndio siri ya UIMARA wa CCM.
Mfano muda huu wanachama wa vyama vya upinzani wote kwa ujumla wako macho kwenye mambo yanayoendelea CCM kuliko vile wanaangalia chama chao alafu baadae wanaanza kulaumiana Mwenyekiti wa milele akishafanya teuzi zake kuweka watu anaopanga wawepo kwenye nafasi anazoamua yeye. Hapo ndipo CCM inazidi kuimarika kutokana na udhaifu unaovikumba vyama vya upinzani katika kukikimbiza chama hiki tawala chama pendwa na chama kikubwa namba moja Africa na cha pili Duniani.