ila hata me sipendi kwa kweli kwenda na rafiki yangu labda kama kasema niende na rafiki yangu me nakuja mwenyewe ili nikujue vizuri ukinifanyia upuuzi ndo inakuwa mwisho na mwazo hata kama nimekudondokea
Wanajamvi naomba kuuliza
kwa nini wasichana/msichana anapokaribishwa kutolewa out labda kwenda
kupata lunch/dinner au chochote kama hicho siku ya kwanza lazima aje na
msichana mwenzake kwamba wa kumsindikiza ?na unakuta siku mlipo kuwa
mnapanga huo mtoko mlikuwa wawili tu ,Hatukupanga kwamba atakuja na
mwenzake
Kujitambua na kujielewa kunakukufanya kuwa guru na happy
Hongera miss chaga
asante sana nishindwe hata kumkiss kisa rafiki yupo loh
Hahaha wenzako hawaelewi mpenz
May be wanataka sifa kwa marafiki zao
rafiki akisuport me ndo nikubali nina marafiki wengi huwa naishia kuwasikia ma boyfriend zangu na me naishia kuwasikia wa kwao sitaki shida mie
Hatukatai kuna outing nyingine unaweza kukuta mmekubaliana kwamba u can come with yo friends so as him u know?but mtu una kidate the u bring a friend o friends aisee bila hata haya dah
Anyway hongera mama the way u treat yo boy he can see the difference
thank u sana have a blessed day
no u hv a blessed day madame
u real deserve that
Wanajamvi naomba kuuliza kwa nini wasichana/msichana anapokaribishwa kutolewa out labda kwenda kupata lunch/dinner au chochote kama hicho siku ya kwanza lazima aje na msichana mwenzake kwamba wa kumsindikiza ?na unakuta siku mlipo kuwa mnapanga huo mtoko mlikuwa wawili tu ,Hatukupanga kwamba atakuja na mwenzake