Wanajamvi naomba kuuliza kwa nini wasichana/msichana anapokaribishwa kutolewa out labda kwenda kupata lunch/dinner au chochote kama hicho siku ya kwanza lazima aje na msichana mwenzake kwamba wa kumsindikiza ?na unakuta siku mlipo kuwa mnapanga huo mtoko mlikuwa wawili tu ,
Ulitakiwa umuulize msichana wako hiyo cku kwamba kwanini kaja na mwenzie?........
Huyo ana tabia mbaya...Wanajamvi naomba kuuliza kwa nini wasichana/msichana anapokaribishwa kutolewa out labda kwenda kupata lunch/dinner au chochote kama hicho siku ya kwanza lazima aje na msichana mwenzake kwamba wa kumsindikiza ?na unakuta siku mlipo kuwa mnapanga huo mtoko mlikuwa wawili tu ,Hatukupanga kwamba atakuja na mwenzake
yah!mostly inakua 4 protection wanaume wengne vichaa unakuta kaandaa mazingira mengine kabisa so rafiki akiwepo inasaidia ulinzi kuepusha mambo mengne kutokea.
Mara nyingi ni kushidwa kujiamini, anakua hajakukubali, na kaushamba flani hivi
siku nyingine uki-date wewe nawe nenda na mkaka mwenzio ili mwe 2 x 2
ha!ha!haa yan umenchekesha duh!ulivyohamaki kama unidunde vle.Mazingira gani? Kutojiamini tu Unaamua kuingia kwenye mahusiano elewa nn maana ya mahusiano you are going out hayo mazingira so called mengine yanatokea wp?acheni maigizo hakyamungu mi nikutoe out halaf unakuja na Rafiki bila kuongea au kukubaliana na mm kila MTU anajilipia bili
Won't be a date anymore
Hata kama u call t double date but haitakua na maana halisi ya date
Wanajamvi naomba kuuliza kwa nini wasichana/msichana anapokaribishwa kutolewa out labda kwenda kupata lunch/dinner au chochote kama hicho siku ya kwanza lazima aje na msichana mwenzake kwamba wa kumsindikiza ?na unakuta siku mlipo kuwa mnapanga huo mtoko mlikuwa wawili tu ,Hatukupanga kwamba atakuja na mwenzake
Mazingira gani?
Kutojiamini tu
Unaamua kuingia kwenye mahusiano elewa nn maana ya mahusiano you are going out hayo mazingira so called mengine yanatokea wp?acheni maigizo hakyamungu mi nikutoe out halaf unakuja na Rafiki bila kuongea au kukubaliana na mm kila MTU anajilipia bili
hahahaaaa! Mkuu mbona umekuja juu kweli jasho la mtu halipotei bila malipo