Lies,fabricated stories,blame games,money,minerals,politics etc is the name of the game,Congolese acha waendelee na hii game ya kulaumu Rwanda kila kitu,wanachezewa na wajanja bila wao kujua and at the end of the day Congo wataendelea kuuana huku Kigali wakiendelea na maisha yao kama kawaida raha mustarehe bila vurugu yeyote,nawasikitikia sana Congolese lakini they need to man up kumaliza matatizo yao wenyewe,ila soon or later naamini watajua mchawi wao nani.