Kwahiyo hapa hofu ni kuwa na bend era ya taifa Fulani!!??, il a bend era yenye siraha kwenye nyumba ya ibada ni sahihi!?Mkuu hiyo ya msikitini ndo naiona Leo, hiyo ni ya kwao wenyewe ama ya taifa flani?
Habari wanajamii
Nimekuwa nikijiuliza na pia kufanya research na kusoma mada mbalimbali kuhusu uwepo wa bendera hasa ya marekani katika makanisa ya kilokole hasa yanayomilikiwa na watu binafsi Lkn bado sijapata jibu sahihi nini maana yake, yawezekana uwepo wa bendera ya taifa flani mahali flani ni kwamba unakubaliana na sera zote za hilo taifa? naomba mwenye kujua siri au maana yake halisi atufahamishe na sisi tafadhali.
Nawakilisha.
kwanini marekani na sio burundi?.Unaposema bendera ya marekani badala ya bendera za mataifa mbalimbali unakosea na unajaribu kujenga mada ya kwako mwenyewe.Uwepo wa bendera zamataifa kanisani huonyesha kwamba injili ni kwa watu wa mataifa yote ikumbukwe pia haiwezi kuwepo bendera ya marekani bila uwepo wa bendera ya israel ambayo wakristo huamini ni taifa teule la Mungu.
Habari wanajamii
Nimekuwa nikijiuliza na pia kufanya research na kusoma mada mbalimbali kuhusu uwepo wa bendera hasa ya marekani katika makanisa ya kilokole hasa yanayomilikiwa na watu binafsi Lkn bado sijapata jibu sahihi nini maana yake, yawezekana uwepo wa bendera ya taifa flani mahali flani ni kwamba unakubaliana na sera zote za hilo taifa? naomba mwenye kujua siri au maana yake halisi atufahamishe na sisi tafadhali.
Nawakilisha.
kwanini marekani na sio burundi?.
Au ule ubabe wa kivita na mandege ya hatari unawapa heshima maalumu?
http://allgalgaduud.com/wp-content/uploads/2014/02/ku1.jpg msikitini bendera ina silaa
Sent from Iphone
kwanini marekani na sio burundi?.
Au ule ubabe wa kivita na mandege ya hatari unawapa heshima maalumu?
Ingekuwa ya Burundi bado ungeuliza, "kwa nini Burundi na sio Marekani?"kwanini marekani na sio burundi?...
Inajulikana vatcan ni nchi yenye jukumu kuu moja tu, makao makuu ya kanisa katoliki la kilatini... marekani je?mbona katoliki wanabendera ya vatican au hujui vatican ni nchi
Habari wanajamii
Nimekuwa nikijiuliza na pia kufanya research na kusoma mada mbalimbali kuhusu uwepo wa bendera hasa ya marekani katika makanisa ya kilokole hasa yanayomilikiwa na watu binafsi Lkn bado sijapata jibu sahihi nini maana yake, yawezekana uwepo wa bendera ya taifa flani mahali flani ni kwamba unakubaliana na sera zote za hilo taifa? naomba mwenye kujua siri au maana yake halisi atufahamishe na sisi tafadhali.
Nawakilisha.
Hakuna siri.Habari wanajamii

Care to show evidence? Au ndio yale maneno ya vijiweni?Kwa kifupi USA ndiye mfadhili mkuu wa makanisa ya Kilokole.
Mkuu hiyo ya msikitini ndo naiona Leo, hiyo ni ya kwao wenyewe ama ya taifa flani?