Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,198
- 7,539
Actually iko hivi...the more you have money ndio.utumwa wa akili unaongezeka nanunashindwa kuconc kwenyenpapuchi....plus kula.sana nk.....ndio inalalaImeonekana kuna uhusiano mkubwa kati ya kuwa na hela mfukoni na "erections" kwa mwanaume.
Iko hivi:
Mwanaume akiwa na pesa ya kutosha mfukoni, anakuwa ana function vizuri, akiwa na pesa kiasi mfukoni, anakuwa na perfomance ya kawaida, akiwa hana kitu au ana nauli tu dah! Hamna kitu.
Sasa kwa kipindi hiki hali ya uchumi ilivyo, wanawake wengi watalia sana! Ila sasa hamna namna mpaka uchumi utakapoimarika.
Hao viumbe ni stress free kabisaaaaa, ndio mana wananenepa Mpaka rangi ya Ngozi inakua ...Haaaaaaaa!!!! Kama hivo jamaa zetu houseboys wasingewapata wake na watoto wa maboss wao.
Mbna mi mwanafunzi sina ela but...Imeonekana kuna uhusiano mkubwa kati ya kuwa na hela mfukoni na "erections" kwa mwanaume.