Uhusiano kati ya Damu na Tabia

Jamaa umepatia 100%
Nimetrace group langu na la wife. Tabia zile zile. Umenifurahisha hapo eti group AB ni wabinafsi, wanapenda vegetables...yaani ukweli mtupu.
Hata mimi ni A lakini positive, jamaa katembea mulemule aroo!!! Nasaidia sana watu yaani huruma mpaka wengine wanaishia kunidhurumu tu.
 
Daah mtoa mada kwel group o hapo umetulenga wadau hasa hasa kweny ngono dooh so tufanye nn ili kujiepusha maan Nina mademu sita mpk sasa ndo kwanza Nina miaka 26
usijali mkuu hata umeme gridi ya taifa hautakugusa,si umesoma hapo tulivyo na kinga za kushato[emoji849][emoji849].
 
Aisee, Ila kuna kaukweli inabidi nibadilike maana wamesema tunaweza kubadilika tabia pia.
Damu group O, tukutane pm kunakikao cha "emergency " sio kwa kuambiwa tunapenda ngono kiasi hiki
 
Kwahiyo mkuu nibahati tu kwamba watumiaji wengi wahumu JF ni group O.
Unajua jf ina watumiaji wachache sana kulinganisha na population yote Tz..?!
Ni chini 1% ya watz ndio wanaotumia jf...!
Nadhani umeelewa nilichomaanisha...
 
Uongo mtupu ata sijasoma kabisa.

Ktumia blood group kupredict tabia ni sawa na kutabiri nyota ya mtu ktokana na jina na mwezi aliozaliwa.,

Hamna correlation ata kdogo.


Scientifically, blood group iko contralled na gene moja tu, ambayo ina altenative forms nne tu, na inapatikana katika DNA moja tu.

Tabia ya mtu ni avarage ya genes zote (mamilioni) ambazo zipo katka DNA zote 23 ambazo binadamu anazo, kila moja ikihusika na kitu kimoja mwilini.


Kwaio mtu akisema kuna kitu kimoja kinawezakupredict accurately tabia za watu, apo lazima anakua umesema uongo.

Hii ni kwasababu, tabia inavitu viwili

1. Gwnetic effect ( ndo izo genes nmesema, ambazo pia zinarithiwa kutoka kwa wazazi)

2. Environmental effect, mazingira pia yanaweza kumodify tabia ya mtu.

Kwaio hata mapacha waliorutubishwa na mbegu moja, bado wanawezaktofautiana tabia ktokana na kukulia katika mazingira tofauti.


Kwaio ukigeneralize kwamba Group O wote wanapenda ngono unakua unadanganya.
 
Group O nawazoom. Ila kuna ukweli ingawa kwenye ngono umetusingizia😀
Kwenye magonjwa umepatia sijawahi kuumwa sijui malaria, sijui nn. Labda vigonjwa normal vya siku mbili.
 
Duh kumbeeee, ndo maana kichwa kinauma bila sababu
 
Sisi wa group O kote katusema vizuri ru, ila kwenye ngono angetustiri aisee
Haina haja ya kuficha mkuu ndivyo tulivyo. Au ulitaka aishie kusema miili ya wenye group O inazalisha sexial hormones nyingi tu? Hahaha
 
Umeandika vyema ila sio blood group O tu ndio wamegawanyika mara 2 yaani POS & NEG, blood groups zote zimegawanyika. Kuna A+ na A- na mengine yote.

Bado natafuta kwamba ni kweli watu wenye blood group O wana kiwango kikubwa cha hormones mwilini mwao kushinda watu wenye blood groups nyingine?
 
Nieleweshe mkuu, hivi mwanamke na mwaume wanapotoa 23 chromosomes each wanaumba mtoto mwenye DNA 23?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…