Uhusiano kati ya Damu na Tabia

Huko sio kupenda ngono,ni umalaya.
Ngono ni lile tendo unaweza ukalipenda hata ukiwa na mwenza mmoja kwa uaminifu tu.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Kwakweli nelengwa kabisaaaa
 
Aisee mbona kama kuna ukweli[emoji134][emoji134][emoji134]
 
mbona coments nying zinaonyesha watu ni group o na tunaambiwa group hiz ni adimu kidogo??siwaelewi hapa

Unajua jf ina watumiaji wachache sana kulinganisha na population yote Tz..?!
Ni chini 1% ya watz ndio wanaotumia jf...!
Nadhani umeelewa nilichomaanisha...
 
Daah mtoa mada kwel group o hapo umetulenga wadau hasa hasa kweny ngono dooh so tufanye nn ili kujiepusha maan Nina mademu sita mpk sasa ndo kwanza Nina miaka 26
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…