Huyo jamaa Uhuru Kenya hajawahi kuajiriwa wala kulipa kodi mahali popote pale, wala hajawahi kutuma maombi kazi maishani mwake, halafu unamkabidhi Ikulu ? Ndiyo maana anakula good time tu!
Kwanza Kenya ni kama shamba lao tu, huoni hata jina la nchi ya Kenya ni jina la ukoo wa Uhuru? Hiyo nchi ni mali yao familia ya Uhuru Kenya!