Ivi ninini kingetokea endapo vyombo vya habari vingeendelea kuwa guru kama wakati wa awamu za NNE kurudi nyuma , bunge lingeendelea kuwa live, mikutano ya kisiasa ingeendea kama katiba inavyosema
Naomba kufahamu intelligensia inasemaje hapo kwasababu haya mambo yalikuwepo tokea 1992 mpaka 2015. Lengo la kubana mambo haya hasa lipi? Nahitaji kueleweshwa wanajamvi