Ukihamisha katiba na sheria za Tanzania ukazipeleka marekani chini ya Rais tramp
=> Vyombo vya habari na mitandao ya kijamii zaidi ya robotatu vitafungwa chini ya mwezi mmoja hadi VOA haitabaki.
=> Magereza yatajaa wafungwa wa kupigania haki za kiraia kwa maana wamarekani ukiwagusa kwenye haki zao hawamwogopi mtu.
Lakini ukichukua katiba na sheria za marekani ukazileta Tanzania
=> itabidi serikali itenge bajeti maalum kwa ajili ya kuimalisha kitengo cha magonjwa ya moyo,kwani hasira chuki ya watawala haitakuwa na mahali pa kupumulia ukizingatia kuwa kufungia,kuweka ndani ni njia rahisi ya kuondoa hasira za watawala.