Mkuu umeongelea Jambo muhimu Sana ...Uhuru ndo kila kitu ktk maisha ya mwanadamu , so me naona ili mahusiano yaende vizuri inapaswa kila mtu awe na Uhuru wake, Ila nidhamu iwepo kwa watu wawili walio kwenye mahusiano . Coz Kuna watu kwa kupitia Uhuru wao binafsi inafika kipindi mtu anaanza kufanya Mambo ambayo yanamkwaza mwenza wake ..mfano kwa wanawake wanatabia ya kuendekeza urafiki wa kijinga wa wanaume wengi unakuta Mara ampost mtu afu et anaandika BBF or my crush afu ukiuliza anaanza kukuambia n rafiki wa kawaida ,Kuna Ile kupokea simu Mara kwa Mara za watu tofauti tofauti hii pia sio nidhamu nzuri kwenye mahusiano ..Uhuru ni kitu mhimu sana katika maisha. Unakupa kufurahia upekee wako, unakupa umiliki wa utu wako na mambo yako, na kukufanya ujione unayo haki ya kufanya utakacho bila kuathiriwa na mtazamo au hisia za mtu mwingine.
Kumekua na kasumba ambayo ujitokeza pindi watu waingiapo kwenye Mahusiano au ndani ya ndoa. Pale mwenza anapotaka ku-push na ku-control uhuru wa mwenzake. Mwenza utamani kumiliki muda, mipango, hisia, na mienendo yote ya mwenza wake, na kumfanya mwenza wake kuwa wazi na at critical risks pale Mahusiano yasipoenda vyema.
Japo wengi utaja sababu za Mahusiano kuvurugika ni kukosa uhaminifu, ukweli ni kuwa sababu kuu ni wapenzi kuhisi mapenzi kuwa ni kifungo na jela ya uhuru wao.
Ni vizuri kutambua mtu yuko radhi kupoteza vyote ili apate uhuru, hivyo kujaribu kubana uhuru wa mwenza katika mapenzi ni sawa kumlazimisha mtu apigane vita vya kudai uhuru.
Ebu fikiri mtu anapoingilia uhuru wako kwa kupekua simu yako, kutaka kujua Leo umeongea na Nani, ulienda wapi, Nani alikupigia, mlikua mnaongea Nini, mbona ulichelewa sokoni au kazini etc. Je ukutanapo na fujo hizo nafsi na akili yako uwa inapatwa na hali ipi ?
Je Mahusiano ni sababu ya kuua uhuru wa mtu ? Je Mahusiano ni kuzika haki ya asili ya uhuru wa mtu juu ya maisha yake?
Ikiwa Mungu anaheshimu uhuru wa binadamu aliyemuumba ,je ni sahii mpenzi kujichukulia haki ya kubaka haki hii ya uhuru wa maisha ya mtu ( personal privacy).
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehe!! Hii haipandi kwa bongo
Ukishakuwa kwenye mahusiano maana yake umekubali kuwa captive wa hisia za mpenzi wako.Uhuru ni kitu mhimu sana katika maisha. Unakupa kufurahia upekee wako, unakupa umiliki wa utu wako na mambo yako, na kukufanya ujione unayo haki ya kufanya utakacho bila kuathiriwa na mtazamo au hisia za mtu mwingine.
Kumekua na kasumba ambayo ujitokeza pindi watu waingiapo kwenye Mahusiano au ndani ya ndoa. Pale mwenza anapotaka ku-push na ku-control uhuru wa mwenzake. Mwenza utamani kumiliki muda, mipango, hisia, na mienendo yote ya mwenza wake, na kumfanya mwenza wake kuwa wazi na at critical risks pale Mahusiano yasipoenda vyema.
Japo wengi utaja sababu za Mahusiano kuvurugika ni kukosa uhaminifu, ukweli ni kuwa sababu kuu ni wapenzi kuhisi mapenzi kuwa ni kifungo na jela ya uhuru wao.
Ni vizuri kutambua mtu yuko radhi kupoteza vyote ili apate uhuru, hivyo kujaribu kubana uhuru wa mwenza katika mapenzi ni sawa kumlazimisha mtu apigane vita vya kudai uhuru.
Ebu fikiri mtu anapoingilia uhuru wako kwa kupekua simu yako, kutaka kujua Leo umeongea na Nani, ulienda wapi, Nani alikupigia, mlikua mnaongea Nini, mbona ulichelewa sokoni au kazini etc. Je ukutanapo na fujo hizo nafsi na akili yako uwa inapatwa na hali ipi ?
Je Mahusiano ni sababu ya kuua uhuru wa mtu ? Je Mahusiano ni kuzika haki ya asili ya uhuru wa mtu juu ya maisha yake?
Ikiwa Mungu anaheshimu uhuru wa binadamu aliyemuumba ,je ni sahii mpenzi kujichukulia haki ya kubaka haki hii ya uhuru wa maisha ya mtu ( personal privacy).
Sent using Jamii Forums mobile app
Eneo hili bado linashida sanaHivi mapenzi yakunyimana Uhuru bado yapo?
Hi ndo inafaaSisi wanaintelijensia tunakupa Uhuru 100%...Hatukagui simu miaka buku..,na ukicheat tunakujua.
Umebalance vyemaKila kitu ni kwa kias hauwez kupata uhuru ambao ulikua nao kipind uko single
Ila pia mahusiano hayatakiwi kuharibu mfumo na taratibu zako za maisha kwa kias kikubwa kuna vitu vina kudefine wewe regardless uko single ama uko kwenye mahusiano, Ukiona unaishi maisha ambayo wewe huna furaha nayo jua haupo kwenye mahusiano sahihi.
Haya Maisha ya uko wap unafanya nn uko na nan huyu aliepiga simu ni nan jua kabisa hayo sio mapenzi ni utumwa kwa maana Principle moja ya Mahusiano ni kuwa huru kwa unachokifanya bila kuvunja mipaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
SureMkuu umeongelea Jambo muhimu Sana ...Uhuru ndo kila kitu ktk maisha ya mwanadamu , so me naona ili mahusiano yaende vizuri inapaswa kila mtu awe na Uhuru wake, Ila nidhamu iwepo kwa watu wawili walio kwenye mahusiano . Coz Kuna watu kwa kupitia Uhuru wao binafsi inafika kipindi mtu anaanza kufanya Mambo ambayo yanamkwaza mwenza wake ..mfano kwa wanawake wanatabia ya kuendekeza urafiki wa kijinga wa wanaume wengi unakuta Mara ampost mtu afu et anaandika BBF or my crush afu ukiuliza anaanza kukuambia n rafiki wa kawaida ,Kuna Ile kupokea simu Mara kwa Mara za watu tofauti tofauti hii pia sio nidhamu nzuri kwenye mahusiano ..
Uhuru uwepo Ila kila mtu ajue mipaka yake na ajue namna bora ya ku behave pindi akiwa na mpenzi wake ili kuepusha migogoro kwenye mahusiano
One love
Mm ukininyima uhuru umenipotezaUpendo wa dhati na mapenzi ya dhati hayana uhuru kabisa.
Ukitaka uhuru kwenye mahusiano unahatarisha mapenzi yenu.
Tazama wanaopenda uhuru kwenye mahusiano wanapoishia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi mkuu.Kila kitu ni kwa kias hauwez kupata uhuru ambao ulikua nao kipind uko single
Ila pia mahusiano hayatakiwi kuharibu mfumo na taratibu zako za maisha kwa kias kikubwa kuna vitu vina kudefine wewe regardless uko single ama uko kwenye mahusiano, Ukiona unaishi maisha ambayo wewe huna furaha nayo jua haupo kwenye mahusiano sahihi.
Haya Maisha ya uko wap unafanya nn uko na nan huyu aliepiga simu ni nan jua kabisa hayo sio mapenzi ni utumwa kwa maana Principle moja ya Mahusiano ni kuwa huru kwa unachokifanya bila kuvunja mipaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwel kabisa kuna muda wako binafs kuna muda na wifey na pia kuna muda na marafiki ukiona huwez kuwa na muda na hayo bas jua iko iko kiiiiiituuuuuSahihi mkuu.
Mimi nataka nipate muda nitembee peke yangu na muda mwingine na wife.
Nataka muda nikae a washkaji maskani.
Sent using Jamii Forums mobile app