kuna maandamano makubwa ya vijana wa Makamo wamebeba mabango yaliyoandikwa uhuru kwa Palestina..(Ilala Boma). Nadhani ni ya kupinga vitendo vya mashariki ya kati.
dah hapa nchini kuna vituko! sie tumekua watu wa kuwadaia wengine uhuru tangu enzi za Nyerere na hakuna tunachokipata ilhali walikuwa ni waAfrika wenzetu sembuse hao waarabu waliotutesa katika utumwa!.
Wanapoteza muda tu huo mgogoro miaka nenda rudi hakuna suluhu maazimio kibao ya umoja wa mataifa ya kuwapatanisha hao jamaa lakini hakuna lolote wabongo badala mkazane kupambana umasikini wa nchi yenu mmekalia kuandamana