Uhuru Kenyatta azunguka Nairobi na kujinchanganya na raia bila kuvaa barakoa huku akiwa amelewa chakari, Sonko amkaripia

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
Gavana Sonko alimtaka Rais awe akivalia maski kama vile shirika la afya duniani (WHO) limependekeza ili watu kujikinga na maambukizi.

Gavana Mike Sonko na Rais Uhuru Kenyatta katika picha ya awali. Sonko alimtaka Uhuru kuwa akivaa maski kipindi hiki cha coronavirus. Picha: Mike Sonko

Video hiyo ya Rais akiwasalimia wakazi wa Nairobi, ambayo Sonko alichapisha kwenye ukurasa wake wa Facebook, ilizua hisia mseto pia.

Baadhi ya wananchi walisikaka wakisema Rais alikuwa amepata kileo kulingana na walivyomuona.

- Kwenye video hiyo, wafuasi wake waliokuwa wamechangamka kukutana naye waliskika wakisema alikuwa amebugia kileo

=======

MY TAKE: Wastani wa maambukizi Kenya ni watu 600 kwa siku, rais haonyeshi kujali, unadhani raia wa kawaida watafanya nini? Corona chukuo huyo Uhuni Kenyatta rudisha kwa Mungu.
 
Hahaha nchi kuongozwa na mlevi ni sawa na kumkabidhi mlevi wa banana basi awashushe mlima Kitonga
Kwa mwendo huu, tutegemee wastani wa watu 100 kwa siku kuambukizwa Corona kuanzia Jumatano wiki ijayo, nchi ya walevi na wahuni hii, purely failed state.
 
Wakati Corona inaongeza kasi ya kuwamaliza wakenya, huku bongo mambo yapo hivi:
 
Baada ya Uhuni Kenyatta kutofuata sheria za kujikinga na Corona, wanasiasa wengine wafuata nyayo zake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom