joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
cc. Tony254Total madnessbaada ya kuona wameshindwa kuiaminisha Dunia juu ya Uongo wao kuhusu Tz now wameamua kufuata Njia yetu__ This time Tz tumeshinda Pakubwa sana__
Hakuna ubaya kuiga jambo zuri, ila ni upumbavu na ujinga kuiga jambo baya, Kenya hadi sasa wanaamini kwamba njia tunayoitumia Tanzania sio sahihi, vipi tena wameamua kutuiga?, inapaswa kwanza kuitangazia dunia na wakenya kwamba walifanya kosa walipokua wakitusema vibaya na kutukashifu.Kuna ubaya gani kuiga jambo zuri?
Hakuna ubaya kuiga jambo zuri, ila ni upumbavu na ujinga kuiga jambo baya, Kenya hadi sasa wanaamini kwamba njia tunayoitumia Tanzania sio sahihi, vipi tena wameamua kutuiga?, inapaswa kwanza kuitangazia dunia na wakenya kwamba walifanya kosa walipokua wakitusema vibaya na kutukashifu.
WamechelewaKuna ubaya gani kuiga jambo zuri?
Si walisema sisi tunafanya hivi kwa sababu ya uchaguzi vipi wanataka na kuanza kutuiga wakati wao hawana uchaguzi ? Sasa hivi wamesababisha hadi ndimu na malimao kupanda bei tz kwa sababu ya kutuigaSasa hivi ndani ya Kenya kuna public pressure kubwa ya kutaka Kenya ifanye kama Tanzania.
Mkoloni aliondoka na akili zao na ndio maana hawajielewi.Si walisema sisi tunafanya hivi kwa sababu ya uchaguzi vipi wanataka na kuanza kutuiga wakati wao hawana uchaguzi ? Sasa hivi wamesababisha hadi ndimu na malimao kupanda bei tz kwa sababu ya kutuiga