Uhuru Kenyatta amechanganyikiwa, Wakenya hawajui walitakalo Katika kupambana na Corona, wamuiga Magufuli kila analofanya

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613

MY TAKE: Kenya is a confused country, the only way remaining for Kenya is copy and paste the Magufuli way.

Corona imethibitisha ukweli nani kati ya Kenya na Tanzania mwenye kujitambua na mwenye maamuzi ya busara. Bila Tanzania Hakuna East Africa.

Hongereni Sana watanzania, tuendelee kutoa dira ya uongozi katika EA, nchi zote zinaiangalia Tanzania kama mfano katika kila tatizo linalotokea.
 
Total madness
emoji23.png
emoji23.png
baada ya kuona wameshindwa kuiaminisha Dunia juu ya Uongo wao kuhusu Tz now wameamua kufuata Njia yetu__ This time Tz tumeshinda Pakubwa sana.
 
Kuna ubaya gani kuiga jambo zuri?
Hakuna ubaya kuiga jambo zuri, ila ni upumbavu na ujinga kuiga jambo baya, Kenya hadi sasa wanaamini kwamba njia tunayoitumia Tanzania sio sahihi, vipi tena wameamua kutuiga?, inapaswa kwanza kuitangazia dunia na wakenya kwamba walifanya kosa walipokua wakitusema vibaya na kutukashifu.
 
Ni mwendo wa kuiga tu. Lakini ni jambo jema kuwaiga wanaofanya vizuri. Naona hata fahamu zimemrudia kwa kutambua ya kuwa corona tutaishi nayo kwa kipindi kirefu tu. Hiyo ni hatua kubwa sana.
 
Wakenya wengi mtaani wanatamani serikali ya uhuru imuige Magufuli jinsi ya kudeal na corona, ni hawa wakenya walioko JF tu ndio wanacheza ngoma ya uhuru
 
Sasa hivi ndani ya Kenya kuna public pressure kubwa ya kutaka Kenya ifanye kama Tanzania.
Si walisema sisi tunafanya hivi kwa sababu ya uchaguzi vipi wanataka na kuanza kutuiga wakati wao hawana uchaguzi ? Sasa hivi wamesababisha hadi ndimu na malimao kupanda bei tz kwa sababu ya kutuiga
 
Si walisema sisi tunafanya hivi kwa sababu ya uchaguzi vipi wanataka na kuanza kutuiga wakati wao hawana uchaguzi ? Sasa hivi wamesababisha hadi ndimu na malimao kupanda bei tz kwa sababu ya kutuiga
Mkoloni aliondoka na akili zao na ndio maana hawajielewi.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom