UHURU: CHADEMA yapasuka

Hadithi ya fisi ya kufumfuata binadamu akidhani mkono utadondoka auokote sawa na magamba wanavosubiri chadema ivurugike mtasubiri sana!!!!!
 
ww mtoa thread umepata wapi hilo gazet au ulilifuata kiwandan coz mimi huwa silioni kabisa katka meza za magazeti
 
Mimi binafsi hii hoja ya Dr Slaa kuwa timua timua viongozi siungi mkono.Niko upande wa Mwenyekiti Mbowe na daima nitakuwa hivyo mungu mjalie Freeman awe Rais wetu
ww nawe usituletee sera za magamba hapa yaan hata kama kiongoz hafai ww unataka akumbatiwe 2. Dr anajua anachokifanya bana.
 
Haliuzi una uhakika ? hebu tupe takwimu hapa tujue yapi yanayo uza ? IF NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK HERE IN JF

Mwanahalisi ndo gazeti linalouzwa kuliko magazeti mengine japokuwa linatoka mara moja kwa wiki ila huwa lina habari zenye udadisi wa kina.
 
Tunao tu hao, hawachomoki na kigazeti chao uchwara, siku hizi kimepungukiwa hata kurasa
 
Hawajalipwa mshahara miezi 29 hao waandishi wa uhuru..gazeti haliuzi
 
SIGNATURE KWENYE CHEQUE YA KUTOLEA HELA CHADEMA NI YA NANI? NA IPO KWA MIAKA MINGAPI? Hata Slaa hapendi HILO LA SIGNATURE? TUFATILIE MASIGNATORY JAMANI
 
poeple who intend to strengthen their party must conflict in their ideological interest as far as they human being with different capacity of thinking at the end compromise is highly upgraded,ccm with idiotic politicians wont face and attack strong base of CDM through that.ccm has to rethink and rethink to pumpup the party ideologically,doings
 
Wambie hao CCM labda watakuelewa, Maana mioyo yao ni migumu wanawazia mali waliochuma
 
Angejua anachokifanya wangepishana kauli halafu gamba mwenyewe.Yule mzee ana maamuzi ya haraka mno bila kufikiria kwani kuna mwana chadema asiye mjua mwenyekiti shirikishwa kila maamuzi anayochukua
ww nawe usituletee sera za magamba hapa yaan hata kama kiongoz hafai ww unataka akumbatiwe 2. Dr anajua anachokifanya bana.
 

,,,,,well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…