New2JF Senior Member Joined Oct 25, 2011 Posts 123 Reaction score 27 Dec 17, 2011 #1 Mimi siamini na wala sitakubali kuamini kuwa eti ''KAMA SIO JUHUDI ZA NYERERE, TANZANIA TUNGEKOSA UHURU....AU TUNGEKUWA HATUNA AMANI'' kama Komba na wenzake walivyoimba!! Huu wimbo ulipigwa sana kipindi cha msiba wa Nyerere!!
Mimi siamini na wala sitakubali kuamini kuwa eti ''KAMA SIO JUHUDI ZA NYERERE, TANZANIA TUNGEKOSA UHURU....AU TUNGEKUWA HATUNA AMANI'' kama Komba na wenzake walivyoimba!! Huu wimbo ulipigwa sana kipindi cha msiba wa Nyerere!!