Kweli mkuu, haya makampuni yakishapata wateja wa kutosha yanaanza ujanja.......tupeni na maujanja namna ya kupata zile 'free to air channel' tutumie hizi dish zao kutafuta uelekeo angalau tuwapunguzie mzigo wa wateja....Nimewaripoti TCRA, nitawapa mrejesho
Hi inayo decorder..Na ikiwa hivi je View attachment 1840072
Hayo maandishi yanasemaje?Angalia kwenye boksi lake kama Kuna maandishi DVBS basi ujue inayo.Tv ikiandika hivyo ndio inakuwa na King'amuzi ndani?View attachment 1839744
So nifanye nn kwa mfano nikipata dish la azam au dstv nikiiweka ueleko wa azmHi inayo decorder..
Washenzi sana DSTV, mtu akilipia kifurushi akakosea namba moja tu, inakuwa hamna namna ya ku undo,Waziri Ndungulile simamia hili jambo Watanzania wanakandamizwa sana sana,tunaomba fuatilia.Iweje mtu akatiwe Channel katikati ya mwezi?Halafu wanaacha Channel 225 ambayo si angavu( HD)
...Umewahi kusoma vizuri 'Kanuni na Masharti' yao ya kuzingatiwa pale unaponunua kifurushi?TCRA wafuatilieni Dstv Tanzania.Yani mtu unanunua kifurushi ambacho unajua nitakuwa na Channels kadhaa but ghafla wanaondoa Channel fulani.
Kwa mfano kifurushi cha 19900/= kilijumuisha Channel 224 ambayo siku zote huwa ipo na imekuwa inaonesha LA LIGA,sasa iweje leo ghafla iondolewe?Si sawa,si sawa kabisaaaa.
Waziri Ndungulile simamia hili jambo Watanzania wanakandamizwa sana sana,tunaomba fuatilia.Iweje mtu akatiwe Channel katikati ya mwezi?Halafu wanaacha Channel 225 ambayo si angavu( HD)
Tanzania banaa!
Waziri Ndungulile wajibika katika hili.
Wakishapunguza na chenji wanarudisha? huu ndo uhuni ambao TCRA na wakala wa kuwatetea walaji wanatakiwa ku address.......yaani mimi nimeshalipia halafu wewe ndo unaamua kunipa au kunisitishia huduma....Umewahi kusoma vizuri 'Kanuni na Masharti' yao ya kuzingatiwa pale unaponunua kifurushi?
Ninakumbuka kama kuna mstari unaosema wanaweza kupunguza ama kuongeza chanel yoyote wakati wowote bila taarifa...!
Kwa sasa Ndugulile anapambana na agizo la serikali ili atekeleze tozo la Mwigulu. Jua Mwigulu katoa siku 14 kwa wadau walio chini ya wizara ya Ndugulile.TCRA wafuatilieni Dstv Tanzania.Yani mtu unanunua kifurushi ambacho unajua nitakuwa na Channels kadhaa but ghafla wanaondoa Channel fulani.
Kwa mfano kifurushi cha 19900/= kilijumuisha Channel 224 ambayo siku zote huwa ipo na imekuwa inaonesha LA LIGA,sasa iweje leo ghafla iondolewe?Si sawa,si sawa kabisaaaa.
Waziri Ndungulile simamia hili jambo Watanzania wanakandamizwa sana sana,tunaomba fuatilia.Iweje mtu akatiwe Channel katikati ya mwezi?Halafu wanaacha Channel 225 ambayo si angavu( HD)
Tanzania banaa!
Waziri Ndungulile wajibika katika hili.
Inamaana hizo signal zinasumbua kwa mtu mmoja mmoja au ni baadhi ya eneo tuYakifika mashindano fulani ndo unaona signal zinasumbua, ukienda na decoder ofisini kwao lazima wakwambie mbovu utoe elf 30 ya kutengeneza, kumbe ni ujanja ujanja tu wa kupiga hela....TCRA msilale hapo fuatilia hawa wahuni.
Watakuwa na ujanja wao, labda wanakuwa wanaingia kwenye akaunti ya mmoja mmoja wanazishusha......ghafla unaanza kuona scratch, ukitazama angani jua kali hakuna hata wingu moja.Inamaana hizo signal zinasumbua kwa mtu mmoja mmoja au ni baadhi ya eneo tu
TCRA wafuatilieni Dstv Tanzania.Yani mtu unanunua kifurushi ambacho unajua nitakuwa na Channels kadhaa but ghafla wanaondoa Channel fulani.
Kwa mfano kifurushi cha 19900/= kilijumuisha Channel 224 ambayo siku zote huwa ipo na imekuwa inaonesha LA LIGA,sasa iweje leo ghafla iondolewe?Si sawa,si sawa kabisaaaa.
Waziri Ndungulile simamia hili jambo Watanzania wanakandamizwa sana sana,tunaomba fuatilia.Iweje mtu akatiwe Channel katikati ya mwezi?Halafu wanaacha Channel 225 ambayo si angavu( HD)
Tanzania banaa!
Waziri Ndungulile wajibika katika hili.
Kwani yeye kifurushi chake anapewa bure......Tafuta tu hela zaidi mkuu uweze kulipia Premium mwaka mzima
Kwenye Biblia imeandikwa kuwa na Fedha huleta jawabu la mambo yote.
Unatumia king'amuzi gani baada ya kugeuza dish?Dish la Dstv Sasa hivi nimelielekeza Astra 2 nyuzi 28°.2, nacheki Euro Kama kawaida free of charge... kisimbuzi Chao nimekipaki mwezi wa tatu huu.
hahahahahahaHamia kwa wavaa Kobazi njia ya Mbagala
Wakienda huko na mikwara wanalainishwa na bahasha ya khaki...Hebu nikumbusheni Kama Kuna waziri aliyekwisha kumtetea mwananchi dhidi ya makampuni ya kibeberu.
Ni waziri yupi na kampuni gani ya kibeberu?
Hilo ni kweliWatakuwa na ujanja wao, labda wanakuwa wanaingia kwenye akaunti ya mmoja mmoja wanazishusha......ghafla unaanza kuona scratch, ukitazama angani jua kali hakuna hata wingu moja.
Kuna ka-,processSo nifanye nn kwa mfano nikipata dish la azam au dstv nikiiweka ueleko wa azm
Tafuta FTa receiversUnatumia king'amuzi gani baada ya kugeuza dish?