Said Cosmetics
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 2,007
- 1,599
Halafu wanasema visimbusi tofauti ya matoleo vina uangavu tofautiTCRA wafuatilieni Dstv Tanzania.Yani mtu unanunua kifurushi ambacho unajua nitakuwa na Channels kadhaa but ghafla wanaondoa Channel fulani.
Kwa mfano kifurushi cha 19900/= kilijumuisha Channel 224 ambayo siku zote huwa ipo na imekuwa inaonesha LA LIGA,sasa iweje leo ghafla iondolewe?Si sawa,si sawa kabisaaaa.Waziri Ndungulile simamia hili jambo Watanzania wanakandamizwa sana sana,tunaomba fuatilia.Iweje mtu akatiwe Channel katikati ya mwezi?Halafu wanaacha Channel 225 ambayo si angavu( HD)
Tanzania banaa!
Waziri Ndungulile wajibika katika hili.
Tupe udambwidambwi Mkuu,inakuwaje hii?
Pitia huu UziWeka TP mzee baba...
Wape muongozo mkuuPoleni sana...
Hao Dstv ni wapuuzi sana, wanashusha signal kwa makusudi ili chaneli za HD zionyeshe scratch, ukienda na decoder yako waiangalie wanakwambia ni mbovu kutengeneza elf 30, chaneli wanaweka wanavyojisikia, mfano ile ya Euro HD wameiondoa bila taarifa yoyote.......hivi hawa Dstv wanafanya wanavyojisikia kana kwamba wapo juu ya sheria? TCRA hawaoni...
Kwa nyuzi hizo unatumia kisumbuzi gani kupata channel zingine. Na mimi nina hiyo Dstv haina kazi.Dish la Dstv Sasa hivi nimelielekeza Astra 2 nyuzi 28°.2, nacheki Euro Kama kawaida free of charge... kisimbuzi Chao nimekipaki mwezi wa tatu huu.
Kwa nyuzi hizo unatumia kisumbuzi gani kupata channel zingine. Na mimi nina hiyo Dstv haina kazi.
DSTV wapuuzi sana.
Nina dstv na tv yangu ina kingamuzi cha ndani n,niko nachingwea mkoa wa lindi je nitapataMpaka uwe na kisimbuzi cha fta (receiver) au tv iliyo na fta receiver ndani na uwe mikoa ya Kanda ya ziwa au magharibi ya tz. Au kwa mikoa mengine unaweza ukatumia sateliye ya Nss 12 nyuzi 57° mashariki inayopatikana tz nzima
Hii fta n nn mkuu tupe elimuMpaka uwe na kisimbuzi cha fta (receiver) au tv iliyo na fta receiver ndani na uwe mikoa ya Kanda ya ziwa au magharibi ya tz. Au kwa mikoa mengine unaweza ukatumia sateliye ya Nss 12 nyuzi 57° mashariki inayopatikana tz nzima
Umetumia kisimbuzi gan mkuu kufanya utundu huoDish la Dstv Sasa hivi nimelielekeza Astra 2 nyuzi 28°.2, nacheki Euro Kama kawaida free of charge... kisimbuzi Chao nimekipaki mwezi wa tatu huu.
Tv ikiandika hivyo ndio inakuwa na King'amuzi ndani?Nina dstv na tv yangu ina kingamuzi cha ndani n,niko nachingwea mkoa wa lindi je nitapata
Fta maana yake free to airHii fta n nn mkuu tupe elimu
Na ikiwa hivi jeTv ikiandika hivyo ndio inakuwa na King'amuzi ndani?View attachment 1839744
Yakifika mashindano fulani ndo unaona signal zinasumbua, ukienda na decoder ofisini kwao lazima wakwambie mbovu utoe elf 30 ya kutengeneza, kumbe ni ujanja ujanja tu wa kupiga hela....TCRA msilale hapo fuatilia hawa wahuni.Hawa jamaa wameshakua wahuni siku hz ...mwenye maujanja ya FTA atoe Elimu hapa ..me Tv yangu Ina internal antena