GE2025 Uhuni uliofanyika kata ya Bunju kumrejesha diwani mstaafu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,793
Reaction score
7,165
Waja JF

Ukisikia wahuni sio watu. Basi ndio hii. Kundi dogo la watu 14, liliongozana kwenda kwenye ofisi za chama likidai, wakazi wa Bunju. Wanalia sana kwa kuondolewa jina la Diwani Kheri Misinga, jambo ambalo ni la kihuni linatakiwa likemewe, madiwani wengi wastaafu, walikuwa wakiunda magroup ya vijana kwenda kulalamika maofisi ya chama, CCM chunguzeni aibu hii.

Kuhusu kwaninini wanabunju hawampendi diwani wao, hilo sio jukumu langu, ila wakae wakijua huyu diwani hatakiwi kabisa. Wengi wanajua, anapambania nafasi yake KMC lakini kwenye kazi za udiwani hakufanya lolote.
 
Toleo la kwanza alikatwa, sasa karejeshwa kinjama kueni makini hatakiwi.
 
Toleo la kwanza alikatwa, sasa karejeshwa kinjama kueni makini hatakiwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…