Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Nimepiga maehesabu haraka haraka hili swala la kukatika umeme masaa 12 kwa siku kila siku kunavyolighalimu tanesco Arusha.
Kwanza LUKU hazifanyi kazi kwa masaa 12 Arusha nzima Viwandani na Majumbani hivyo kupoteza mapato, Pili wafanyabiashara hawazalishi siku nzima hivyo serikali inakosa mapato. Vilevile wafanyakazi wa Tanesco kama hakuna umeme hwafanyi kazi kwasababu bila umeme hawawezi kufanya testing na hivyo kufanya wafanyakazi wanalipwa mishahara bure bila kufanya kazi.