Hebu weka kwanza umri wa unayemtaka ili kuondoa flooding ya PM zisizo za lazima.....Habari zenu. Naitwa..... umri miaka 25 naishi Dar kama nilivyotangulia hapo mwanzo ni kweli kuwa nimechoka kuishi pekee Nahitaji mwenza wa kuwa nae maishani kusaidiana katika dhiki na faraja tucheke wote tulie wote pamoja siku zooote za maisha yatu. Wasifu wangu:- ni wa kawaida tuu ni mcheshi, mtafutaji naishi pekee ninafanya kazi ya kuniwezesha kupata fedha kiasi SIFA ZA NINAETAMANI KUWA NAE :- 1muonekano wa kawaida 2.mcheshi 3.awe amemaliza ujana ili tufanye maisha tuu na sio mambo yasiyo na faida 3.awe na shughuli ya kumuingizia kipato hata kama ni cha kawaida tuu. Nitampenda, nitamheshimu. Angalizo sihitaji boyfriend au mtu wa ku spend (kula raha) hapana nimefafanua toka mwanzo aina ya mtu nimtakae ni wa kuanza nae maisha kama upo tayari ni PM mengine tutaongea zaidi
Nimeshaedit mkuu kuanzia 30 itapendeza zaidiHebu weka kwanza umri wa unayemtaka ili kuondoa flooding ya PM zisizo za lazima.....
Habari zenu. Naitwa..... umri miaka 25 naishi Dar kama nilivyotangulia hapo mwanzo ni kweli kuwa nimechoka kuishi pekee Nahitaji mwenza wa kuwa nae maishani kusaidiana katika dhiki na faraja tucheke wote tulie wote pamoja siku zooote za maisha yetu. Wasifu wangu:- ni wa kawaida tuu ni mcheshi, mtafutaji naishi pekee ninafanya kazi ya kuniwezesha kupata fedha kiasi SIFA ZA NINAETAMANI KUWA NAE :- 1muonekano wa kawaida 2.mcheshi 3.awe amemaliza ujana (Namaanisha awe anajielewa hana mambo ya kivulana awe na kiu ya maendeleopmaendeleo pia) ili tufanye maisha tuu na sio mambo yasiyo na faida 4.awe na shughuli ya kumuingizia kipato hata kama ni cha kawaida tuu. Akiwa na umri wa kuanzia miaka 30 itapendeza zaidi, nitamheshimu. Angalizo sihitaji boyfriend au mtu wa ku spend (kula raha) hapana nimefafanua toka mwanzo aina ya mtu nimtakae ni wa kuanza nae maisha kama upo tayari ni PM mengine tutaongea zaidi
kila la heri ukipata nijulishe nami nianze kutafuta
Yupo wa 30 ila ana tatizo la AKIMWAGA KIMOJA CHALINimeshaedit mkuu kuanzia 30 itapendeza zaidi
Nifate pm vigezo vyote nnavyoHabari zenu. Naitwa..... umri miaka 25 naishi Dar kama nilivyotangulia hapo mwanzo ni kweli kuwa nimechoka kuishi pekee Nahitaji mwenza wa kuwa nae maishani kusaidiana katika dhiki na faraja tucheke wote tulie wote pamoja siku zooote za maisha yetu. Wasifu wangu:- ni wa kawaida tuu ni mcheshi, mtafutaji naishi pekee ninafanya kazi ya kuniwezesha kupata fedha kiasi SIFA ZA NINAETAMANI KUWA NAE :- 1muonekano wa kawaida 2.mcheshi 3.awe amemaliza ujana (Namaanisha awe anajielewa hana mambo ya kivulana awe na kiu ya maendeleo) ili tufanye maisha tuu na sio mambo yasiyo na faida 4.awe na shughuli ya kumuingizia kipato hata kama ni cha kawaida tuu. Akiwa na umri wa kuanzia miaka 30 itapendeza zaidi mtu wa kawaida tuu asiye na makuu ambae hajioni kuwa yupo sahihi kwa kila kitu, nitamheshimu. Angalizo sihitaji boyfriend au mtu wa ku spend (kula raha) hapana nimefafanua toka mwanzo aina ya mtu nimtakae ni wa kuanza nae maisha kama upo tayari ni PM mengine tutaongea zaidi