Nashukuru nduguUshauri ;usinunue kutoka kwa mtu yeyote kuna kitu kinaitwa salmonelosis kitakutesa mpaka utachukia ufugaji hebu jarib kupeleleza hatcher mzur mweny source nzur ya mayai ili usije kuchukia ufugaj pind kuku waanzapo kufa na kutumia gharama kubwa za matibabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri ;usinunue kutoka kwa mtu yeyote kuna kitu kinaitwa salmonelosis kitakutesa mpaka utachukia ufugaji hebu jarib kupeleleza hatcher mzur mweny source nzur ya mayai ili usije kuchukia ufugaj pind kuku waanzapo kufa na kutumia gharama kubwa za matibabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini wakuu, ninahitaji vifaranga vya kuroiler toka kwa mfugaji yeyote hapa mbeya (ndani ya wiki hii) kwajili ya mradi wangu nipo mbozi mbeya ..0744575261... Asanteni muwe na siku njema
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana nduguKaka karibu na hongera kwa ufugaji.
Karibu Sinade poultry farm tuko Morogoro. Tunajighulisha na ufugaji hasa wa kuku aina ya Kuroiler. Kwa mahitaji yako ya Kuroiler karibu uwasiliane na sisi tutakutumia huko uliko.
Kwa ufupi huduma zetu zinazingatia yafuatayo
1. Ubora.
Kuroiler tulionao, ni bora kwa kuwa tunatotolesha wenyewe kwenye hatchery zetu ambazo zinazingatia viwango vya usafi wa hatchery. Tuna parent stock na vifaranga tunaouza ni first filial generation (F1). Hivyo unapata vifaranga walio bora.
Kwa kuroiler tunaowauza, tegemea kuanza kuuza baada ya miezi 3 (hii ni halisi hususani majogoo) na wanakuwa uzito wa 3. ...Kg, na baada ya miezi 4.5 lazima waanze kutaga mayai. Majogoo ya miezi 7 hadi mwaka mmoja yanauzito wa kuanzia kilo 6 nakuendelea
2. Magonjwa.
Tunafuata taratibu zote za ufugaji bora, ikiwemo utoaji na uchanjaji wa chanjo sahihi na kwa wakati. Kuna magonjwa mengine ambayo asili yake ni kukosa usafi, tunamshauri ufugaji namna na kuepukana na hayo. Unaweza pata vifaranga bora halafu vikapata maambukizo baada ya kuwa navyo. Mfano, Coccidiosis, typhoid, salmonellosis na mengine.
3. Vifaranga wa kuuza.
Tunauza vifaranga wa umri tofauri kulingana na mahitaji ya mfugaji, na uzoefu wake katika tasnia ya ufugaji. Tunauza vifaranga wa siku moja (Tsh. 3,000) na tunaunauza vifaranga wa mwezi mmoja Tsh 6,000/=. Hao wa mwezi mmoja wanakuwa wamepata chanjo 4 za magonjwa hatarishi na yasiyo na tiba. Hivyo, wateja wetu wengi ambao ni wakulima na hawajawahi kufuga tunawashauri wachukue wa mwezi mmoja na ushauri bure. Wafugaji wazoefu ni uamuzi wao. Vyote hivi unavipata kwa order.
4. Kuku wakubwa
Kama unahitaji pia kuku kwa ajili ya kuuza kitoweo wanapatikana kwa order. Na kwa sababu ya changamoto za usafiri, tunashauri, mnunuzi awapate wakiwa wamechinjwa na kupakiwa vizuri. Kama unahitaji wakiwa hai unarkaribishwa kuja kuchukua mwenyewe. Kwa kuku wakubwa bei zetu ni mapatano kutegemeana na ukubwa/uzito wa kuku mwenyewe.
5. Mawasiliano
Unaweza kuwasiliana na sisi kwa namba 067343601 au karibu Kilombero Morogoro. watao hitaji picha nitapost baadae.
Nitazingatia hiloKweli kaka usinunue kuku kwenye vyanzo visivyo vya uhakika wengine sio pure kuroiler
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa maelekezo yaliyoshiba. Nitawatafuta.Kaka karibu na hongera kwa ufugaji.

Mfano, Coccidiosis, typhoid, salmonellosis na mengine.
Hivi haya magonjwa kuku wa kienyeji wanay
Kaka karibu na hongera kwa ufugaji.

hizo bei si mchezo
GHARAMA ZENU NI KUBWA SANA. Kifaranga cha siku moja kwa tsh 3000?? Sijawahi kuona.Kaka karibu na hongera kwa ufugaji.