Poa.. Hili suala inabidi likemewe mkuu..Watu wanatumia gharama kubwa kukarabati hizo barabara lakini magari yasiyostahili kupita maeneo hayo yanaharibuNashukuru kwa masahihisho
Kuna maeneo makubwa temeke,waacheni wapaki tu, viwanda vingi viko temeke hayo malori yanakuja kupakia bidhaa zinazozalishwa na viwanda vyetu,wewe ulitakaje?Hizi sio gari za kubeba container, ni magari ya kubeba consolidated cargo
Sasa wataingiaje kwenye maeneo bila kupita kwenye mitaa?Maeneo na mitaa ni vitu viwili tofauti, elewa somo
Ngoja nikueleweshe vizuriSasa wataingiaje kwenye maeneo bila kupita kwenye mitaa?
Sasa tatizo lako ni barabara au ukahaba? kama ni ukahaba unaruhusiwa kwenda kutoa neno la mungu. kuhusu barabara suala si malori, tatizo la barabara za temeke hazina ubora.ndiyo maana pille, sudani,tandika mwisho, keko, kila mwaka hali iko hivyo. ndiyo maana pia barabara ya kilwa kwenda mbagala kila mwaka wanafukua fukua!! serikali iangalie hali hiyoNgoja nikueleweshe vizuri
1. Issue hapa nikwamba haya malori yameheuza baadhi ya mitaa ya Temeke kuwa ni vituo vyao vya KUPAKILIA mizigo, hivyo hayapiti mitaani kuelekea katika " MAENEO" mitaani humo ndio parking station zao kwa ajili ya shughuli hii.
Athari zake kutokana na hilo ni kwamba, uwezo wa barabara hizo kubeba malori haya ni mdogo, hivyo huzibomoa kabisa barabara na kusababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaje wengine.
2. Kutokana na ukubwa wa malori haya, hugunga njia na kusabisha adha kwa wapiya njia na watumiaji wengine
3.Kwa kuwa haya ni maeneo ya kuishi watu, hii inazorotesha usalama kwani kuna ajali za kudondikewa na mizigo kwa wapita njia na watoto
4.Kuongezeka kwa magonjwa ya zinaa, ukahaba umeingia mtaani kutokana na mkusanyiko mkubwa wa watu wanaofanya kazi katika malori haya amnao wamekua wachicheaji wa zinaa humo mitaaani
5. Kuzorota kwa elimu, baadhi ya vijana wa mtaani wamejiinhiza katika shuhhuli ya ubebaji mizigo ili wapate pesa na kuacha masomo
Kama hujaona tatizo nipo tayari kuendelea zaido
Chuki zako tu dhidi ya malori, nyumba nyingi za madereva wa malori wanachangia uchumi wa temeke kuanzia wenye nyumba za kulala wageni, nyumba za kupanga, maduka, mama ntilie,kwa ujumla malori haya yanatoa ajira kwa vijana kuanzia ulinzi upakiaji wa mizigo sio jambo baya,masuala ya ukahaba yapo tu kabla hata ya kuzaliwa yesu.
Huwezi kulazimisha mawazo yako tuyakubali.Pointless
mbona unaumia sana kwani ww ndio umetoa gharama za kukarabati hizo barabara waache waharibu zitengemezwe tenaNgoja nikueleweshe vizuri
1. Issue hapa nikwamba haya malori yamegeuza baadhi ya mitaa ya Temeke kuwa ni vituo vyao vya KUPAKILIA mizigo, hivyo hayapiti mitaani kuelekea katika " MAENEO" mitaani humo ndio parking station zao kwa ajili ya shughuli hii.
Athari zake kutokana na hilo ni kwamba, uwezo wa barabara hizo kubeba malori haya ni mdogo, hivyo huzibomoa kabisa barabara na kusababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaje wengine.
2. Kutokana na ukubwa wa malori haya, hufunga njia na kusabisha adha kwa wapita njia na watumiaji wengine
3.Kwa kuwa haya ni maeneo ya kuishi watu, hii inazorotesha usalama kwani kuna ajali za kudondokewa na mizigo kwa wapita njia na watoto
4.Kuongezeka kwa magonjwa ya zinaa, ukahaba umeingia mtaani kutokana na mkusanyiko mkubwa wa watu wanaofanya kazi katika malori haya amnao wamekua wachocheaji wa zinaa humo mitaaani
5. Kuzorota kwa elimu, baadhi ya vijana wa mtaani wamejiingiza katika shughuli ya ubebaji mizigo ili wapate pesa na kuacha masomo
Kama hujaona tatizo nipo tayari kuendelea zaido
Kwa hyo zisipoharibiwa ndio hutaendelea kulipa kodi?Mimi na wewe ndio tunalipia gharama za hizi barabara, nashangaa huelewi hilo