N Nombo Tobias. Member Joined Feb 1, 2015 Posts 7 Reaction score 7 Jun 5, 2017 #1 Ni kweli uhamisho wa watumishi wa umma umefutwa hapa nchini tz? tangu rais aingie madarakan nimeona stahiki ya kuhama inapuuzwa ilihali watu wanamatatizo ya kiafya nk.
Ni kweli uhamisho wa watumishi wa umma umefutwa hapa nchini tz? tangu rais aingie madarakan nimeona stahiki ya kuhama inapuuzwa ilihali watu wanamatatizo ya kiafya nk.
Askari Muoga JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 6,112 Reaction score 4,663 Jun 5, 2017 #2 una uhakika