M matrona mshanga New Member Joined Mar 28, 2014 Posts 2 Reaction score 0 Aug 28, 2016 #1 Habari za Leo wanajamii forum? Naomba kuuliza mwenye taarifa za uhamisho mwaku huu anijulishe plz ikiwezekana kama anajua unatoka lin
Habari za Leo wanajamii forum? Naomba kuuliza mwenye taarifa za uhamisho mwaku huu anijulishe plz ikiwezekana kama anajua unatoka lin
tandoor Senior Member Joined Jun 10, 2016 Posts 170 Reaction score 128 Aug 28, 2016 #2 Wahusika ndo wanajuwa siku,wiki,mwezi na mwaka watakaoamuwa kutoa hayo majina
mtei msomi Member Joined Jul 30, 2016 Posts 16 Reaction score 4 Aug 28, 2016 #3 Hakuna ajuaye mkuu zaidi ya maafsa wa tamisemi km wamo humu ndani watusaidie taarfa
CHIEF MGALULA JF-Expert Member Joined Sep 11, 2009 Posts 1,190 Reaction score 889 Aug 28, 2016 #4 Bado Mkuu, Hata Kale Ka Increment Hakajatoka Pia, Tuendelee Kuwa Na Subra Ili Tuvute Heri