MwanawaMUNGU41 JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,052 Reaction score 749 Jan 31, 2017 #1 Nimeumia sana kuona barua za kuomba nafasi za ndugu yangu anayeumwa kifafa anaambiwa asubiri uhamisho uruhusiwe,sasa mtu kama huyu anakàaje mbali nafamilia? Hili jambo limenitoa machozi,lkn Mungu yupo!!
Nimeumia sana kuona barua za kuomba nafasi za ndugu yangu anayeumwa kifafa anaambiwa asubiri uhamisho uruhusiwe,sasa mtu kama huyu anakàaje mbali nafamilia? Hili jambo limenitoa machozi,lkn Mungu yupo!!