Wakati unaingia katika ajira ya ualimu malengo yako yalikua je? Ukiacha siunaona utakua umepoteza mda wako mwingi utakosa hata yale mafao ya uzeeniWaungwana habari. Km kichwa cha habari kilivyowazi hapo juu.kitaaluma mimi ni mwalimu wa shule ya msingi japo nimefanikiwa ku upgrade Elimu yangu kwa level ya bachelor. Mazingira ya mwalimu kuhama kwa sasa ni magumu sana. Waliokwisha kufanikiwa kuhama tunaomba tuwe tunasaidiana njia mlizopita ukiachilia mbali njia ya kubadilishana ambayo ni ngumu sana kwa mikoa km kigoma,lindi,mtwara,Mara. Binafsi sijawahi kuomba kuhama lakini kwa mwaka 2021 nimepanga hilo jambo litimie na kama litashindikana basi niandike barua ya kuacha kazi au niache tu bila kuandika barua nikapambane upya sehemu nyingine bila hivyo umri unakwenda hakuna cha maana kilichofanyika.
Naona unajikanyaga mkuu hata majibu huna ila unaamua kuandika pumba na ugoro tu. Hongera sanasasa unataka nani aje kigoma! hivi upo serious?
by the way niliwahi kutengeneza mfumo wa kubadilishana vituo nilikuwa napata load upande mmoja nikaifunga hiyo website yaani uhamisho ni ishu tata sana...
Point mkuu.umeeleweka vizuri sio wengine hawa anakuja anasadifu watu kwakuwa tu yupo sehemu yenye raha na kuwaona wengine wanastahili kubaki kwenye shida kwasababu yeye ni binadamu zaidi ya hao wenye shida.Pambana,.nyoosha mkono..
sawaNaona unajikanyaga mkuu hata majibu huna ila unaamua kuandika pumba na ugoro tu. Hongera sana
Imenipa mkwanja sana hii awamu ya nneNataka nijiajiri katika sekta hii ya kusaidia walimu kuhama na kubadilishana vituo.
Ngoja niweke mbinu
Nipo Dar
0744033555
Unayabipu maisha ya mtaani, yatakupigia! komaa hapo hapo upate mtaji ndio utoke ukajiajiri. ukijiamini na hiyo digrii peke yake ukaingia mtaani ndio utajua haujui.Waungwana habari. Km kichwa cha habari kilivyowazi hapo juu.kitaaluma mimi ni mwalimu wa shule ya msingi japo nimefanikiwa ku upgrade Elimu yangu kwa level ya bachelor. Mazingira ya mwalimu kuhama kwa sasa ni magumu sana. Waliokwisha kufanikiwa kuhama tunaomba tuwe tunasaidiana njia mlizopita ukiachilia mbali njia ya kubadilishana ambayo ni ngumu sana kwa mikoa km kigoma,lindi,mtwara,Mara. Binafsi sijawahi kuomba kuhama lakini kwa mwaka 2021 nimepanga hilo jambo litimie na kama litashindikana basi niandike barua ya kuacha kazi au niache tu bila kuandika barua nikapambane upya sehemu nyingine bila hivyo umri unakwenda hakuna cha maana kilichofanyika.