UHAMISHO JULAI 2018

UHAMISHO JULAI 2018

jonas255

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
225
Reaction score
112
WADAU HABARI ZENU... HIVI UHAMISHO WA WATUMISHI WA UMMA WA MWEZI HUU MBONA HAWATANGAZI NA MWEZI UNAENDA KUKATA HIVYO... WALITOA MAJINA YA MWANZO LAKINI MPAKA SASA NI KIMYA MAJINA YA AWAMU YA PILI AMBAYO YALIPELEKWA NA MAKATIBU TAWALA MIKOA
 
Una maanisha TAMISEMI au vinginevyo? km ni hao kwa kweli wanaboa na wameshindwa kwenda na kasi ya Mhe Jaffo. Utaratibu wao ni kutoa majina Januari na Julai. Nimepata taarifa majina ya Julai yatatoka Septemba 2018.
 
Bora iwe September maana walisemaga ni awamu mbili tu..tuombe mungu
 
Back
Top Bottom