M Mtendaji wa kaya JF-Expert Member Joined Mar 16, 2014 Posts 334 Reaction score 59 Apr 13, 2014 #21 Excel said: mkuu inaniuma sana unajua eenh, mi nikiangalia huko sina hata mfagiaji anaenijua... namuomba tu MUNGU kimya kimya! sijui tutumie njia gani kupata kazi sie wenye vigezo halafu tunatupwa kapuni kisa hatujulikani kwa wakubwa. btw, tushukuru kwa uzima.. Click to expand... Mungu wa babu zetu ndio tegemeo letu
Excel said: mkuu inaniuma sana unajua eenh, mi nikiangalia huko sina hata mfagiaji anaenijua... namuomba tu MUNGU kimya kimya! sijui tutumie njia gani kupata kazi sie wenye vigezo halafu tunatupwa kapuni kisa hatujulikani kwa wakubwa. btw, tushukuru kwa uzima.. Click to expand... Mungu wa babu zetu ndio tegemeo letu
Stevery2 JF-Expert Member Joined Mar 3, 2012 Posts 396 Reaction score 47 Apr 13, 2014 #22 Excel said: hatuna jinsi mkuu.. tukilia sana tutakufuru. tunaambiwa mpaka sasa sijui kuna application 5000 wakati nafasi ziko 270, tena hapo bado kuna watu wana watu wao, tusubiri tuone matokeo! Click to expand... uoga na mashaka hukatisha ndoto,kaza
Excel said: hatuna jinsi mkuu.. tukilia sana tutakufuru. tunaambiwa mpaka sasa sijui kuna application 5000 wakati nafasi ziko 270, tena hapo bado kuna watu wana watu wao, tusubiri tuone matokeo! Click to expand... uoga na mashaka hukatisha ndoto,kaza
babo Senior Member Joined Apr 9, 2014 Posts 194 Reaction score 23 Apr 13, 2014 #23 unapo tuma maombi ya kaz,tambua wapo weng walio tuma maombi,ukiwemo ss cha kufanya vumilia tu mpaka mwisho
unapo tuma maombi ya kaz,tambua wapo weng walio tuma maombi,ukiwemo ss cha kufanya vumilia tu mpaka mwisho
prakatatumba JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 1,328 Reaction score 192 Apr 13, 2014 #24 Mtendaji wa kaya said: baadae jeshini miezi mingapi vile? Click to expand... mwaka mmoja
prakatatumba JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 1,328 Reaction score 192 Apr 13, 2014 #25 Mtendaji wa kaya said: hata wakaguzi wasaidizi jeshin kunawahusu?wakati huo mnalipwa mshahara kama waajiriwa?nauliza tu wakuu Click to expand... wote lazima muende depo
Mtendaji wa kaya said: hata wakaguzi wasaidizi jeshin kunawahusu?wakati huo mnalipwa mshahara kama waajiriwa?nauliza tu wakuu Click to expand... wote lazima muende depo
M Mtendaji wa kaya JF-Expert Member Joined Mar 16, 2014 Posts 334 Reaction score 59 Apr 13, 2014 #26 prakatatumba said: mwaka mmoja Click to expand... kweli?wakati huo mnalipwa mshahara? mwaka mzima si padogo
prakatatumba said: mwaka mmoja Click to expand... kweli?wakati huo mnalipwa mshahara? mwaka mzima si padogo
Stevery2 JF-Expert Member Joined Mar 3, 2012 Posts 396 Reaction score 47 Apr 13, 2014 #27 Mtendaji wa kaya said: kweli?wakati huo mnalipwa mshahara? mwaka mzima si padogo Click to expand... posho bwana.
Mtendaji wa kaya said: kweli?wakati huo mnalipwa mshahara? mwaka mzima si padogo Click to expand... posho bwana.
kbmk JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 776 Reaction score 158 Jun 7, 2014 #28 Haaaaa wanamuziki nao ukitaka kufanya kazi ya jeshi ugangamale guu sawa guu pande Mtendaji wa kaya said: kweli?wakati huo mnalipwa mshahara? mwaka mzima si padogo Click to expand...
Haaaaa wanamuziki nao ukitaka kufanya kazi ya jeshi ugangamale guu sawa guu pande Mtendaji wa kaya said: kweli?wakati huo mnalipwa mshahara? mwaka mzima si padogo Click to expand...