Jiongeze, hati ya kusafiria kubwa unalipia shilingi elfu hamsini. Kwa miaka kumi. Kwa nini usikate kubwa ukakaa miaka kumi bila bughuza?Hbr Ya Asbh Wanajamvi, Leo Napenda Kupata Maelekezo Au Maelezo Kutoka Idara Ya Uhamiaji Tanzania, Swali Na Malalamiko Yangu, Ni Kuhusu Utoaji Wa Hati Za Dharura Za Kusafiria, Ambazo Watumiaji Wengi Ni Madereva Na Wasaidizi Wao, Kutoka Tanzania Kwenda Nchi Za Afrika Mashariki Na Kati, Awali Tulikuwa Tukipata Hati Hizo Kwa Muda Wa Mwaka 1 ,Kwa Gharama Tofauti Vituo Vingi Walichaji Elfu 20 Na Vingine Elfu 15 ,Hakuna Hata Risiti Walau Ile Ya Ticket Ya Bus, Sasa Tokea Mwisho Wa 2017 Utaratibu Umebadilika Kwa Kutoa Toka Muda Mwaka 1 Hadi Ya Safari 1 Tu (Single Journey) Yaani Ukitoka Na Kurudi Imeisha. Hivyo Ikiwa Kwa Mwaka Utasafiri Mara 10 ,Basi Yatupasa Tukate Hati Hizo Mara 10 Pia. Sasa Tatizo Ni Kila Safari Unatakiwa Uende Kwa Wakili Kuapa Kwa Kujaza Form Za Affidavits Na Kulipia Elfu 15 ,Na Hiyo Hati Ya Dharura (Passipot) Elfu 10 ,Passipot Size Elfu 3 ,Photocopy Kuanzia Kadi Za Gari, Leseni Ya Kuendesha Gari Na Kitambulisho Elfu 1.5 .Jumla Elfu 29.5 .Kila Safari. Swali Kwanini Kila Safari Lazima Niende Kwa Wakili Kuapa Tu!!!!?? Kwani Taarifa Za Safari Iiiyopita Zimeenda Wapi, Wkt Naona Anaweka Ktk Kompyuta!!!? Kwanini Mi Nikiwa Naomba Nyingine Nisiihie Kwa Afisa Uhamiaji Tu Kwa Kuchukua Taarifa Zangu Za Mwezi Uliyopita Na Kuthibitisha Kwa Hati Yangu Iliyoisha Ambayo Ninayo!!?!? Haya Kwanini Basi Wasingeiweka Iwe Walau Ya Miezi 6 Tu ,Kama Mwaka 1 Ni Mrefu Na Wao Wanakosa Makusanyo. Hivi Madereva Wana Kipato Kikubwa Kiasi Gani Hadi Kuwabana Na Kuwakamua Hivi Jmn, Sawa Lengo Kukusanya Mapato Mengi, But Hili Si Sawa Jmn, Hili Lipo Pale Uhamiaji Makambako Ndio Nimekumbana Nalo Binafsi. Tunawaomba Wahusika Mlitazame Hili Jmn.
MADEREVA WENZANGU HABARINI ZA JUMAPILI. NASIKITIKA SANA NAONA MADEREVA BADO WANAANDIKIWA FAINI KWA KOSA LA KUTO SIMAMA KWENYE ZEBRA NAOMBA KILA DEREVA ASOME VIZURI SHERIA HII NA UIELEWE NA UINAKILI IKIWEZEKANA ANDIKA KWENYE KARATASI SIKU UKIKAMATWA NA ASKARI ASIE IJUA SHERIA MUELIMISHE SHERIA YENYEWE NI HII HAPA CHINI[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Kwa kweli madavoo tuna shida wenzenu uhamiaji shida, ukija Sumatra shida,barabarani huku kwa wazee weupe ndio dddddduuuhhh maumivu ya htar sasa hv hakuna sheria inaumiva ma-davoo km zebra kuwe na mtu asiwepo unatakiwa usmame uspocmama wazee weupe wakikuona iandae tu 30 elf yko.
Ndo maana unashindwa hata kuweka kituo kwenye habari yako? Uandishi gani huu mkuu?
Mkuu unaacha kujadili hoja, unajadili uwandishi!!!?Ndo maana unashindwa hata kuweka kituo kwenye habari yako? Uandishi gani huu mkuu?
Mkuu unaacha kujadili hoja, unajadili uwandishi!!!?Ndo maana unashindwa hata kuweka kituo kwenye habari yako? Uandishi gani huu mkuu?
Mkuu mawazo yako ni mazuri na binafsi ndicho nilichokifanya, tatizo hiyo hati kubwa ya kusafiria hadi kuipata utazungushwa weee hadi ukome.....sasa wakati unazungushwa katikati hapo kuna vijisafari ndo hapo tunalazimika kutumia hati ya kusafiria kwa dharura.Jiongeze, hati ya kusafiria kubwa unalipia shilingi elfu hamsini. Kwa miaka kumi. Kwa nini usikate kubwa ukakaa miaka kumi bila bughuza?
Siku hizi hati kubwa ni siku tano mpaka wiki Tu unapata.Mkuu mawazo yako ni mazuri na binafsi ndicho nilichokifanya, tatizo hiyo hati kubwa ya kusafiria hadi kuipata utazungushwa weee hadi ukome.....sasa wakati unazungushwa katikati hapo kuna vijisafari ndo hapo tunalazimika kutumia hati ya kusafiria kwa dharura.
Mkuu siku tano hadi wiki moja labda ni kwa dar pekee, tulioko mikoani bado sana....Siku hizi hati kubwa ni siku tano mpaka wiki Tu unapata.
Unaweza ukamaliza taratibu zote mpaka finger print na bado kupata passport ni shida ukienda uhamiaji unambiwa njoo baada ya wikibiliMkuu siku tano hadi wiki moja labda ni kwa dar pekee, tulioko mikoani bado sana....
imagine nipo Dodoma, makao makuu ya nchi na sasa ni miezi kadhaa bado nasubiri hati kubwa ya kusafiria kutoka dar!!
HasiraNdo maana unashindwa hata kuweka kituo kwenye habari yako? Uandishi gani huu mkuu?