Uhamiaji, pitia pale Business Complex Ipsos Synovate kuna Wakenya

KATASAN'KAZA

JF-Expert Member
Jul 24, 2013
3,097
1,352
Napenda kuwaelekeza hawa watu wa uhamiaji kutembelea na kufanya ukaguzi kwenye kampuni ya Ipsoss Synovate pale businesses complex msasani kuna jipu la wahamiaji haram wakenya chungu mzima wanafanya kazi.

Tena wengi ata vibali vya muda watakuwa hawana, pia vipo vichaka vya makapuni Bima, clearing and fowarding pamoja na Tours companies. Hivi ni vichaka vya wahindi, wakenya, wachina na wazungu. Msisahau mahotelini na makampuni ya ndege..!

Nawambia kama wakifanya kufagia hawa vibaka wa kazi zetu watasalia graduate wachache sana mtaani...!

Twende kazi vichaka tayari tumewatajia...!
 
umenyimwa posho nn
 
nchi hii iligeuzwa shamba la bibi lakini chini ya jpm watatumbuliwa tu mijipu yao
 
uhamiaji ingefutwa na kuundwa na sura nyingine,si km hawajui ila wanachukua sn "kitu kidogo" kutoka kwa hao watu

hamna wanachokifanya hawa uhamiaji km wangekuwa serious na kazi yao utumbo huu usingekuwepo.

eti mpaka aingie waziri na wao ndo hujifanya kudadindia, pale viettel,pepsi n.k kuna wahamiaji haramu kibao but nothing is going on

"Nchi ya kitu kidogo"
 
Back
Top Bottom