Uhamiaji na CV

korino

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,013
Reaction score
686
Habar zenu.

Kwenye posts za uhamiaji sijaona sehem walosema tutume CV katika vile viambatanisho vya maombi ya kazi jamani.

Hebu niekeni sawa hapa inakuwaje?
 
Maombi yalitakiwa kuwa na viambataniso vilivyotajwa:-

  • Nakala za vyeti vya kuhitimu masomo kwa mujibu wa sifa zilizotajwa
  • Nakala ya Cheti cha Kumaliza Elimu ya Msingi
  • Nakala ya Cheti cha Kuzaliwa
  • Picha mbili (Passport Size)
  • Barua ya Utambulisho kutoka kwa Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa... Hiyo CV labda uiongezee mwenyewe kwenye viambatanisho kisha uiambatanishe!
 

nilikuwa sijagundua hili mkuu!
 
Habar zenu.

Kwenye posts za uhamiaji sijaona sehem walosema tutume CV katika vile viambatanisho vya maombi ya kazi jamani.

Hebu niekeni sawa hapa inakuwaje?
korino vitu vingine ni very common wala hutakiwi kuulizwa ndio uviambatanishe. Mfano huwez andika hiyo barua yako ukajielezea kila kitu, ndio maana ya kuweka cv pale ambayo inabeba utambulisho wako. so just attach your cv my dear.
 
Last edited by a moderator:
cv ktk barua za kuomba kazi ni swala la muhimu,maaana mwajiri anaposoma barua za waombaji hujikita sana kwenye ukurasa huu wa cv maana ndio unao onesha wasifu wako binafsi! Watakuwa wakekosea tu katika uchapaji wa tangazo hili.so wekeni cv zenu vijana!
 

Hawajasema uandike barua hapo lakini utaiandika, hivyo CV pia ni muhimu.
 

Cv muhimu sana mkumbuke hilo msipuuzie.
 

asante yusuph
 
korino vitu vingine ni very common wala hutakiwi kuulizwa ndio uviambatanishe. Mfano huwez andika hiyo barua yako ukajielezea kila kitu, ndio maana ya kuweka cv pale ambayo inabeba utambulisho wako. so just attach your cv my dear.

asante matatiz
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…