Uhamiaji haramu umeasisiwa na CCM

sawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
2,752
Reaction score
931
Naombeni wadau ni wakumbushe jinsi sakata la yule mwanasiasa machachari HUSSEN BASHE,ambaye alishika nyadhifa kibao katika umoja wa vijana wa CCM.

Aliposhinda kura za maoni kuteuliwa kugombea ubunge wa Nzega NDIO FITINA ZILIPO ANZAA,sasa kama si udhaifu wa CCM na serikali yao walikuwa wapi miaka yote mpaka anashika nyadhifa zote hizo,shame on you JK na Chama chako kwa kuasisi wahamiaji haramu na mnao wengi tu katika chama chenu.

Mfano mzuri ni JEET PATEL na yule mhindi anayemiliki kiwanda cha chuma ni maswaiba wakubwa wa JK lakini wana pasi za kusafiria zaidi ya 3,India, Canada na Tanzania
 

Mnanishangaza sana OBAMA mjaruo wa kenya rais wa USA sembuse aho wahindi?inabidi watanzania kufungua macho,wageni ni baraka wanaleta ujuzi,cha muhimu ni kuwatumia vizuri ili wazalishe mali kwa nchi,hayo mengine nimajungu ya wanasiasa wanaokua wakipambania nafasi za kula tu,ili niongozwe na raia mrarushwa bora kuongozwa na mgeni anayetenda kazi yake vizuri kwa manufaa ya wananchi anao waongoza,ukitaka kuangalia raia halisi,tanzania niwachache sana ukianzia na maraisi walio watawala mpaka leo hakuna mtazania halisi,lakini hayayote ya ubaguzi yamaanza wakati wa mkapa wakati wakiwaondoa watu walio wahisi kama wanyarwanda serikalini,na mwendelezo huu itafika wakati wamakonde watarudishwa msumbiji na wengine wengi.
 
ccm wanawatumia wahamiaji haramu wakati wa upigaji kura
 
Kuna Mama moja mwenye asili ya kongo ni waziri nchini Itali. Jamani sisi wote ni watu wangu. Wote ni kwa udongo
Mimi binafsi nipo tofauti sana na wahindi ila siyo kwa sababu ni watu wageni kwenye taifa letu. La hasha bali ni mfumo wao wa unyanyasaji kwa waswahili, ubaguzi Nk
 

Nakubaliana na wewe kwamba unaweza kua na visa na mtu mmoja lakini isiwe kwa wote,mimi nikikumbuka tanzania ya nyerere iliyokua inathani utu wa mwafrika yani nashindwa kuelewa kabisa ,hivi waafrika wananyanyaswa na waafrika wenzao wakiwaita nyoka,ndio watu wanajiuliza jk kuambia pk aongee na wauaji alikua anamaanisha amani kweli? kwajinsi wanyarwanda wanavyofukuzwa jk sio mtu wa amani ameonyesha jinsi anavyo ichukia rwanda,na kuwepo kwake kongo sio kwania njema.
 
Wanyarwanda jeuri xana wacha watimuliwe kama wameweza kuuna wenyewe kwa wenyewe je sisi wa nchi nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…